Home 2023
Yearly Archives: 2023
KATIBU MKUU SAIDI YAKUBU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI KUTOKA UBALOZI WA USWISI,...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi kutoka Ubalozi wa Uswisi na Hispania nchini...
Mhe. Kigahe aitaka Suma JKT kuharakisha ujenzi wa jengo la utawala la Shirika la...
Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) kwa niaba ya Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameitaka Suma JKT...
WACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUZINGATIA KANUNI ZA USALAMA MIGODINI
Geita
Serikali imewataka Wachimbaji wa Madini kuzingatia Kanuni za Usalama na kufuata Sheria na Taratibu za Uchimbaji ili kuepusha ajali katika maeneo ya uchimbaji.
Rai hiyo...
TenMeT WAZINDUA MPANGO MKAKATI WA 2023-2027 KULETA MAPINDUZI YA UCHUMI
Na Magrethy Katengu
Wadau wa sekta ya Elimu wameshauriwa licha ya harakati zao za kuboresha elimu nchini pia wasaidie wanafunzi katika suala la Maadili huko...
MAONESHO YA MADINI YAWANUFAISHA WACHIMBAJI CHUNYA
Wachimbaji wadogo wapata elimu bora ya uchimbaji madini
Wachimbaji na wananchi wa Mkoa wa Kimadini Chunya wamenufaika kwa elimu iliyotolewa na kujifunza mengi kutoka kwa...
MAREKANI YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KWA KASI ZAIDI
Na Benny Mwaipaja, Dar es SalaamMAREKANI imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika jitihada zake za kuimarisha uchumi wake na maendeleo ya wananchi kwa kutoa...
MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI TANZANIA ( TBA ) , AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU...
Mwenyekiti wa Chama cha Mabenki Tanzania (TBA) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya Taifa (NBC) Bw. Theobald Sabi akitoa hotuba...
TMA YAZIDI KUIMARIKA ZAIDI MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA
Imeelezwa kuwa viwango vya usahihi wa utabiri wa hali ya hewa unaotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini –TMA kwa ujumla vimeongezeka na...















