Home 2023
Yearly Archives: 2023
KATIBU MKUU UWEKEZAJI DKT. TAUSI MBAGA KIDA ATEMBELEA MRADI WA KIWANDA CHA KUZALISHA VIFAA...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais anaeshughulikia Uwekezaji Dkt. Tausi Mbaga Kida ametembelea mradi wa Kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme Elsewedy EA Limited kilichopo...
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIWANGO AFRIKA , TBS YAWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UANDAAJI...
Meneja wa uandaaji Viwango TBS, Mhandisi Yona Afrika akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Viwango Barani Afrika, Makao Makuu ya TBS...
WAZIRI MCHENGERWA ATAKA UBUNIFU KATIKA KUTANGAZA UTALII
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Omary Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara hiyo kuongeza ubunifu katika kutangaza utalii ndani na nje ya...
MAKANGULA: SITOWEZA KUWAVUMILIA VIONGOZI AMBAO HAWATEKELEZI WAJIBU WAO
Uongozi wa Umoja wa vijana wa CCM wilaya ya Ubungo (KAMATI YA UTEKELEZAJI) chini ya Mwenyekiti wake shadrack Makangula Leo umeanza ziara yake rasmi...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAARIFA YA UTENDAJI WA MAMLAKA ZA MAJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewataka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutumia...
MBETO: ASISITIZA VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA SAHIHI.
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.
KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amevisihi vyombo vya habari nchini kuongeza kasi...
MIAKA MIWILI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA UMELETA MAFANIKIO CHANYA WCF
Na mwandishi wetu, Dodoma
KUMEKUWEPO na maendeleo chanya katika utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF) kutokana na mabadiliko ya Kisera ya...
TAIFA STARS KUBEBA MILIONI 500 IKIFUZU FAINALI AFCON
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya...
MWENYEKITI UVCCM TAIFA AFUNGA MAFUNZO YA UJASILIAMALI MKOANI TABORA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa na mjumbe wa kamati kuu(MCC) Ndugu. Mohammed Kawaida amefunga mafunzo ya ujasiliamali yaliokuwa yanasimamiwa na Mkuu wa...















