BUNDA SPORTS KIDS MABINGWA ESTER BULAYA CUP 2023,MDEE ANUNUA MAGOLI
Na Shomari Binda-Bunda
TIMU ya Bunda Sports Kids wamekuwa mabingwa wapya wa mashindano ya Ester Bulaya Cup 2023 baada ya kuifunga timu ya Sazira fc...
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA KUREKEBISHWA KWA MADUARA NA MIAMBA INAYONING’INIA ENEO LA UCHIMBAJI MWAKITOLYO
Kufuatia Taarifa ya ukaguzi uliofanywa na timu ya wataalamu iliyoundwa na Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde kuhusu uchambuzi wa mikataba kati ya Vikundi...
Wizara ya Ardhi yaja na Kliniki ya Kutatua Kero za Ardhi Mwanza
Na Neema Kandoro, Mwanza
WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeandaa hati zaidi ya 300 kwa siku mbili katika Halmashauri ya jiji la...
MKUU WA WILAYA YA SAME AIGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na...
TBS YAADHIMISHA WIKI YA UBORA DUNIANI NA KUTOA TUZO KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI
MKURUGENZI wa Maendeleo ya Viwanda kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Sempeho Nyari amewataka wazalishaji wa bidhaa nchini na watoa huduma kutoka sekta za...
PROF. MUHONGO ASHAURI MIPANGO YA BAJETI YA SERIKALI ILENGE KUONDOA UMASIKINI NCHINI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameshauri mipango ya serikali ilenge kupunguza na kuondoa umasikini kwa kasi kubwa.
Ushauri huo...
DC CHIKOKA AWAPONGEZA MADIWANI MANISPAA YA MUSOMA NA KUSHAURI KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Rorya Juma Chikoka ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Musoma amewapongeza madiwani wa manispaa ya Musoma...
TANZANIA IMEPOKEA MKOPO WA DOLA MILIONI 13 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO
Tanzania imepokea mkopo wa dola milioni 13 sawa na shilingi bilioni 32 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Saudi kwa ajili ya ujenzi wa njia...
MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU
*Asisitiza kazi ya uthamini si ya wababaishaji au vishoka
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wathamini wote wawe waadilifu, wenye weledi na wazingatie miiko ya taaluma...
DKT SHEIN ATETA NA VIONGOZI WA CHUO KIKUU MZUMBE
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Ali Mohammed Shein amefurahishwa na taarifa ya maendeleo ya...















