Friday, May 1, 2026
Home 2023 November 8

Daily Archives: November 8, 2023

MWENYEKITI WA CCM PWANI ATAKA STAHA KUWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI WAKIKOSEA JAMBO

0
•VIONGOZI WA SERIKALI WASIUMBULIWE HADHARANI - MLAO Na Scolastica Msewa, Kibaha Mwenyekiti wa CCM Mkoani Pwani Mwinyishehe Mlao amewataka Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa...

SERIKALI ITAENDELEA KUWASILISHA TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO

0
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuwasilisha taarifa kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano unaofanyika kupitia vikao baina ya Serikali zote...

RC MTANDA AWAKUMBUSHA WALIMU KUJIANDAA KABLA YA KUSTAFU UTUMISHI WA UMMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amewakumbusha walimu wanaotarajiwa kustafu kujiandaa kabla ya kuachana na utumishi wa umma. Akizungumza na walimu...

TANZANIA KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA HIARI KATIKA UTAYARI WA KUKABILIANA NA MAJANGA

0
NA. MWANDISHI WETU Imeelezwa kuwa Serikali itaendelea kufanya tathmini ya hiari dhidi ya utayari wake katika kukabiliana na majanga hasa milipuko ya magonjwa hivyo tathmini...

VIJANA WA CCM NA UWT WAMETAKIWA KUENDELEZA AMANI NA MSHIKAMANO ULIOPO KATI YA TANZANIA...

0
Na Scolastica Msewa, KibahaKatibu wa Nec Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI Rabia Abdallah Hamid amewataka vijana viongozi wa CCM kuendeleza amani maelewano na...