Friday, May 1, 2026
Home 2023 November 17

Daily Archives: November 17, 2023

SERIKALI YAPONGEZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA SHIRIKA LA Vi-AGROFORESTRY

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI imepongeza kampeni ya upandaji miti inayoendeshwa na shirika la Vi-Agrofotestry katika kupambana na uhifadhi wa mazingira. Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Tawala...

MBUGE DKT DAVID MATHAYO AMUUNGA MKONO MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSANI KWENYE SEKTA...

0
Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mbunge wa Same Magharibi DKT David Mathayo amesema Michezo inawajenga vijana kuwa na...

TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA TAJIRI DUNIANI

0
Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki...

REA YAANZA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA NAIBU WAZIRI MKUU KUFIKISHA HUDUMA YA UMEME MTWARA

0
KUPELEKA WAKANDARASI KUFANYA TATHIMINI MADIMBA NA MSIMBATI KABLA YA UTEKELEZAJI Na Veronica Simba, Mtwara WAKALA wa Nishaji Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa maagizo ya Naibu Waziri...

ZAIDI YA KAMPUNI 22 ZAKUTANA KUJADILI BIASHARA YA HEWA UKAA BILA KUATHIRI MAZINGIRA

0
Na Magrethy Katengu Tanzania ni miongoni mwa nchi Mdau Duniani nayokabiliana na Mabadiliko ya tabia nchi kupitia Wizara husika ya Utalii na Maliasili pamoja kwa...

Wazee Mkoani Mwanza wapongeza Uteuzi wa Paul Makonda, kasi yake yawavutia ndani ya Chama

0
Na Neema Kandoro, Mwanza Mwenyekiti wa wazee Mkoani Mwanza Charles Masalakulangwa alisema wanayo imani kubwa na Makonda kwani ana weledi na uzoefu katika ulingo wa...

UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA CHALINZE UMEFIKIA 86.23%

0
Na Scolastica Msewa, Chalinze.Ujenzi wa kituo Cha kupoza umeme cha Chalinze na mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Mwalimu Julias Nyerere...

ELIMU YA FEDHA KUFUNGUA FURSA ZA UKUAJI WA UCHUMI

0
Na. Farida Ramadhani, WF, Dodoma Serikali imekusudia kuhakikisha wananchi wengi wanapata uelewa wa masuala ya fedha ili kuwawezesha kunufaika na fursa mbalimbali zinazopatikana katika huduma...

TIGO PESA WATOA ZAIDI YA MILIONI 300 KWA MAWAKALA WAKE NCHI NZIMA

0
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam 16 Novemba 2023: Mawakala wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo wanaotoa huduma za miamala maarufu...