KOROSHO IKIDONDOKA IOKOTWE HARAKA KABLA HAIJAINGIA UNYEVU WA MVUA – MNG’ERESA
Na Scolastica Msewa, Mkuranga
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Ushirika wa Wakulima wa Mkoa wa Pwani CORECU Musa Mngeresa amewataka Wakulima mkoani humo kuendelea kulinda...
BUKOBA DC YA ENDELEZA MAPAMBANO UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE BORA KWA JAMII
Na Theophilida Felician, Kagera
Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera imeendelea na juhudi za utekelezaji wa mkataba wa usimamizi wa shughuli za lishe.
Yamebainika hayo kwenye kikao...
Jumuiya ya Maendeleo ya Kilimanjaro (JUMAKI) wakutana Mwanza
Na Neema Kandoro, Mwanza
Jumuiya ya Maendeleo Kilimanjaro (JUMAKI) wamekutana katika Uwanja wa ccm kirumba chini ya kiongozi wao mkuu ambaye ni mangi mkuu Deogratias...
SERIKALI YAIPA REA BIL 170 UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME MKOANI MTWARA
DKT BITEKO AITAKA REA KUWAFANYIA TATHMINI WAKANDARASI
NAIBU WAZIRI MKUU AIPONGEZA REA USIMAMIZI MIRADI YA UMEME NCHINI
Na Veronica Simba, REA-Mtwara
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa...
MAONYESHO YA KILIMO MSETO MIAKA 40 YA Vi-AGROFORESTRY KUFUNGULIWA KESHO MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MAONYESHO ya kilimo mseto ya shirika la Vi-Agroforestry yanayofanyika kila mwaka mjini Musoma yanafunguliwa kesho kwenye kituo cha kilimo mseto kilichopo Bweri.
Shughuli...
HAUNA HAJA YA KUWA NA LAINI KWENYE SIMU YAKO, TIGO WAJA NA HUDUMA YA...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam Novemba 14 2023 Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha Watanzania wanafurahia maisha ya kidijitali, Tigo Tanzania, inajivunia kutangaza mafanikio ya hivi...
UMOJA WA INDIA , TANZANIA WAANDAA MBIO ZA RIADHA KUFANYIKA DESEMBA 30 NA 31...
Na MWANDISHI WETU
UMOJA wa nchi za India na Tanzania wameandaa mbio za riadha zitakazofanyika Desemba 30 na 31 jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar...
MAKONDA ASIFU UADILIFU NA MCHANGO WA PROF.MUHONGO HAPA NCHINI
Na Shomari Binda-Musoma
KATIBU wa NEC, Uenezi, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda amesifu na kupongeza mchango wa Profesa Sospeter Muhongo.
Amesema elimu aliyokuwa...
MAKONDA KUZUNGUMZA NA WAZEE KESHO MUSOMA, KUFANYA MKUTANO WA HADHARA TARIME
Na Shomari Binda-Musoma
KATIBU wa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda kesho atazungumza na wazee Musoma mjini katika masuala mbalimbali kabla ya kwenda kufanya...
TOSHCARGO NA TPBRC YAJA NA KUBWA KULIKO, TUZO MBALIMBALI KUSHINDANIWA
Na Magrethy Katengu
Kampuni ya usafiriji mizigo leo imezindua tuzo za mwaka 2023/2024 kwa ngumi za kulipwa katika vipengele mbalimbali ikiwemo bondia bora wa mwaka...















