Friday, May 1, 2026
Home 2023 November

Monthly Archives: November 2023

MKUFUNZI CHUO CHA KATOKE AWAASA WANANCHI WA BUGABO KUTILIA MKAZO SUALA LA ELIMU KWA...

0
Theophilida Felician Kagera. Jamii ya mwambao wa Tarafa ya Bugabo Halmashauri ya Bukoba mkoani Kagera imehimizwa kujimudu na kutilia mkazo wa kuwapatia elimu stahiki watoto...

DKT. MWINYI ATOA NENO KUELEKEA MKUTANO WA BENKI YA DUNIA – ZANZIBAR

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,...

TANZANIA, INDONESIA ZAANZA USHIRIKIANO KWA VITENDO SEKTA YA MADINI

0
Bandung, Indonesia. Wataalam wapatao 20 kutoka Wizara ya Madini na Taasisi zake wameanza rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala mbalimbali ikiwemo utafiti, usalama wa...

Mwili wa askari aliyegongwa na gari ya Shule waagwa Mwanza

0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa amewaongoza mamia ya waombolezaji wakiwemo maafisa, wakaguzi, askari wa vyeo...

TUME YA MADINI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA UKUSANYAJI WA MADUHULI

0
Yapitisha maombi mapya 7596 ya leseni za madini kuanzia Julai hadi Septemba, 2023 Mhandisi Samamba awataka watanzania wengi kuwekeza kwenye Sekta ya Madini Ili kuhakikisha kuwa...

Shirika la bima (NIC) laja na neema kwa Vikundi

0
SHIRIKA la Bima (NIC) limewataka watanzania walio katika vikundi kujiunga katika mfuko unaohudumia misiba ili waweze kumudu matukio hayo yanayojitokeza kwa ghafla na kuleta...

BUKOBA DC YAJIPANGA KUHAKIKISHA WAZAZI NA WALEZI WANACHANGIA CHAKULA CHA WATOTO IPASAVYO SHULENI

0
Na Theophilida Felician, Kagera Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera itaendelea kuwahimiza wazazi na walezi wa watoto kushiriki suala la kuchangia chakula cha watoto shuleni kama...

UTAFITI WA GST WAONGEZA KASI YA UKATAJI LESENI MTWARA

0
Serikali kupitia Taasisi ya Jilolojia na Utafiti wa Madini (GST) imefanya utafiti wa awali na kuainisha madini yanayopatikana katika Mkoa wa Mtwara hatua iliyosaidia...

WANANCHI KISIWA CHA RUKUBA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAANZA UJENZI WA SEKONDARI

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba kilichopo kwenye jimbo la Musoma vijijini wameanza ujenzi wa shule ya sekondari ili wanafunzi waweze kusomea hapo. Kwa...

TALGWU KUUNGANA NA NCHI NYINGINE KUADHIMISHA SIKU YA MIJI DUNIANI

0
NA Mwadishi wetu KATIKA Kuadhimisha siku ya miji duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Oktoba 31 tangu kuwnzishwa kwake 2014, Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali...