Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 November

Monthly Archives: November 2023

CCM, MAAGIZO, MAWAZIRI

CCM YAWAPA MAAGIZO MAWAZIRI WATATU KUTEKELEZA KWA KASI UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO KAGERA

0
Na Theophilida Felician, Kagera Chama cha mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo Paul Makonda kimetoa maagizo ya kuwataka mawaziri wa...
TBS, TUZO, UBORA

TBS KUTUNUKU TUZO ZA UBORA WA BIDHAA NA HUDUMA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI...

0
Kuelekea  kilele cha wiki ya Ubora,Shirika la Viwango Tanzania(TBS) limeandaa maadhimisho  ya siku ya Ubora yenye lengo la kushukuru mchango wa wataalamu wa ubora...
SERIKALI, KUKAA, MBUNGE

SERIKALI KUKAA NA MBUNGE GHATI CHOMETE KUZUNGUMZIA UJENZI WA BARABARA TARIME

0
Na Shomari Binda SERIKALI imeahidi kukaa na kuzungumza na mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ili kuzungumzia ujenzi wa kilometa 5 za...
CHALINZE, KUJENGA, HOTELI

CHALINZE KUJENGA HOTELI YA HADHI YA 5 ⭐ NA PETROL STATION KUONGEZA MAPATO

0
Na Scolastica Msewa, Chalinze.Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani limepitisha ujenzi wa hoteli ya hadhi ya nyota tano na kituo cha...
KLM, NDEGE, MPYA

KLM KUJA NA NDEGE MPYA 50 ZA AIR BUS KWA SAFARI ZA MABARA KUANZIA...

0
Shirika la ndege la AIR FRANCE KLM limetia saini makubaliano na Airbus kwa jumla ya ndege 50 za Airbus A350-900 na A350-1000 zitakazotumwa kwa...

TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MAKUBALIANO KUONDOA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA

0
Makatibu Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia...

CHANGAMOTO ZA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA KUTATULIWA

0
Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba 30, 2023 ili kuiwezesha sekta binafsi kufanya biashara bila vikwazo vyovyote baina...
MWENYEKITI, CCM, PWANI

MWENYEKITI WA CCM PWANI ATAKA STAHA KUWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI WAKIKOSEA JAMBO

0
•VIONGOZI WA SERIKALI WASIUMBULIWE HADHARANI - MLAO Na Scolastica Msewa, Kibaha Mwenyekiti wa CCM Mkoani Pwani Mwinyishehe Mlao amewataka Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa...

SERIKALI ITAENDELEA KUWASILISHA TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO

0
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuwasilisha taarifa kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano unaofanyika kupitia vikao baina ya Serikali zote...
MTANDA, WALIMU, KUJIANDAA

RC MTANDA AWAKUMBUSHA WALIMU KUJIANDAA KABLA YA KUSTAFU UTUMISHI WA UMMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amewakumbusha walimu wanaotarajiwa kustafu kujiandaa kabla ya kuachana na utumishi wa umma. Akizungumza na walimu...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA