Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2022

Yearly Archives: 2022

TANZANIA, KUWA, MWENYEJI

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MIKUTANO YA MABARAZA YA MAWAZIRI WA MAJI WA BONDE LA...

0
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepewa heshima ya kuandaa mikutano ya mabaraza ya Mawaziri wa maji wa bonde la Mto Nile. Akizungumza na waandishi wa...
WAZIRI MASAUNI, UCHUNGUZI, MAUAJI

WAZIRI MASAUNI AAGIZA UCHUNGUZI MAUAJI YA WATU 2 KIJIJI CHA LUSANA

0
Boniface Gideon, KILINDI Waziri wa mambo ya ndani ya nchi mhamdisi Hamad Masauni ameagiza uchinguzi ufanyike kwa watu waliohusika na mauaji ya watu wawili yaliyotokea...

TIC 2021/2022 IMEFIKIA ONGEZEKO LA WAWEKEZAJI ASILIMIA 14.6

0
Na Magrethy katengu Kituo Cha Uwekezaji TIC kimesema katika kipindi Cha mwaka 2021Juni hadi Julai 2022 kimefanikiwa kusajili miradi 274 ikilinganishwa na miradi 234 katika...
SIMU, TECNO, SPARK

SIMU YA TECNO SPARK 9 YAZINDULIWA RASMI

0
Dar es Salaam, Agosti 16, 2022. Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali nchini , Tigo Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya simu za mkononi TECNO  kuzindua...
MGENI RASMI, TUZO, VIJANA

PROF.NDALICHAKO MGENI RASMI TUZO ZA VIJANA CHIPUKIZI ZA TEYA-AGOSTI 27

0
Na Andrew Chale, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Prof Joyce Ndalichako (MB) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi...
MKUU, WILAYA, KALAMBO

MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AZINDUA RASMI USAJILI WA MBOLEA ZA RUZUKU KWA WAKULIMA

0
Na Mwandishi Wetu, Kalambo. MKUU wa Wilaya ya Kalambo, iliyopo Mkoani Rukwa, Mhe. Tano Mwera amezindua rasmi usajili wa mbolea za ruzuku huku akiwataka Wakulima...
WANANCHI WANAOISHI, MIPAKANI, USALAMA

WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI WAHAKIKISHIWA USALAMA

0
Na Boniface Gideon, MKINGA Wananchi wa Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wamehakikishiwa Usalama wao nakwamba wasiwe na hofu kutokana na kuishi mpakani na Nchi jirani. Akizungumza...
UZALISHAJI, CHAI, KWENYE

PROF.NDALICHAKO AKAGUA UZALISHAJI WA CHAI KWENYE KIWANDA CHA MPONDE-LUSHOTO

0
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako ametembelea kiwanda cha Chai Mponde kilichoko...

TAWI LA CHUO KIKUU CHA MISRI KUANZISHWA TANZANIA- WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Chuo Kikuu cha Misri kimebainisha kusudio la kuanzisha tawi lake nchini Tanzania kwa ajili ya kuanza kutoa elimu katika fani mbalimbali. Waziri...

NAIBU WAZIRI AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE.

0
Viongozi na wadau wa maendeleo mkoani Kilimanjaro wameipongeza serikali kwa jitihada za dhati katika kuhakikisha mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe unakamilika, pongezi hizo zimetolewa...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA