Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2022

Yearly Archives: 2022

WAZIRI, DKT, BITEKO

WAZIRI DKT. BITEKO AWAPONGEZA GF TRUCK GROUP KWA KUFANIKISHA UCHANGIAJI WA DAMU GEITA

0
Na Humphrey Msechu, Geita  WAZIRI wa Madini dkt.Doto Biteko ameyataka makampuni mengine nchini kuiga mfano wa Kampuni ya Gf Truck Group kwa kitendo chao cha...

SERIKALI YAWAPA MAWAKILI WAFAWADHI SIKU 14 KUWASILISHA KESI ZILIZOPO

0
❖ Mawakili Wajipanga Kuelimisha Umma Kuhusu Katiba na Haki za Binadamu Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma Serikali yawapa Mawakili Wafawidhi wa Serikali siku kumi nne kuanzia...

DKT.MWINYI AAHIDI KUFANYA MAGEUZI MAKUBWA NDANI YA CCM-ZANZIBAR

0
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema anatarajia kufanya...

MGODI WA GEITA WATAJWA MFANO BORA KUHUDUMIA JAMII

0
Imeelezwa kuwa, Kampuni ya Uchimbaji dhahabu ya Geita Gold Mining Limited ( GGML) inaongoza kwa kuwa kampuni ya uchimbaji madini nchini inayofanya vizuri katika...

WAZIRI MKENDA AANZA ZIARA YA SIKU TATU JIMBONI ROMBO//ATAJA MAFANIKIO SERIKALI YA RAIS SAMIA

0
Na Mathias Canal, Rombo-Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda jana tarehe 1...

JESHI LA POLISI LAFANIKIWA KUONDOA KERO YA PANYA ROAD MTAA WA BUGURUNI KISIWANI

0
Na Magreth Mbinga Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mh Omary Kumbilamoto amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuweza kurudisha hali ya utulivu ambayo...

WIZARA YA AFYA ISHIRIKISHE WADAU KUCHANGIA HUDUMA ZA TIBA – WAZIRI MKUU

0
Akabidhi sh. milioni 600 kusaidia wanawake wenye tatizo la FistulaAipongeza NMB kufikisha lengo la sh. bilioni 1 ndani ya miaka miwili WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...

MANISPAA YA MOROGORO YATANGAZA KAMPENI YA USAFI.

0
Na Saidi Ibada, Morogoro. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Pascal Kihanga ametangaza kampeni ya usafi wa mazingira katika kata zote za Manispaa ya Mkoa...

DKT.BITEKO AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUANZA ULIPAJI WA FIDIA KWA WANANCHI

0
Awataka wananchi kushirikiana na Mwekezaji. Shilingi bilioni 30 zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia. Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ameiagiza Kampuni ya Tembo Nickel inayomiliki...
MRAMBA, SERIKALI, SOKO

MRAMBA: SERIKALI HAITOACHA SOKO LA TANZANIA LIWE DAMPO LA BIDHAA ZISIZO NA UBORA

0
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Bw. Christopher Mramba amewashauri wafanyabiashara kuzingatia sheria na kuendelea kujenga utamaduni wakuzingatia masharti...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA