Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2022

Yearly Archives: 2022

WAZIRI SIMBACHAWENE AWAPA KONGOLE TIMU ZA MICHEZO OFISI YA WAZIRI MKUU

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe: George Simbachawene amezipongeza timu za michezo za ofisi ya Waziri Mkuu kwa...

BODI YA FILAMU YAWAITA WASANII KUWASILISHA KAZI ZAO KUWANIA TUZO DESEMBA 2022 ARUSHA.

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA Bodi ya Filamu Tanzania leo mkoani Tanga imeanza zoezi la ukusanyaji wa kazi za sanaa za wasanii wa filamu mbalimbali hapa...

PROF. KITILA MKUMBO AJIVUNIA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA UBUNGO

0
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amesema Serikali inaendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya barabara katika Jimbo la Ubungo ili kuhakikisha zinapitika...
WATUHUMIWA, TUHUMA, UHALIFU

WATUHUMIWA 24 MBARONI TUHUMA ZA UHALIFU

0
Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Mohamed Amani (45) "kiziwi", mkazi wa Dar es Salaam na Mwanza pia...
MAJALIWA, HAKUNA, MRADI

MAJALIWA: HAKUNA MRADI UTAKAOKWAMA NCHINI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi yote ya kimkakati...
MENEJA, TARURA, WILAYA

MENEJA WA TARURA WILAYA YA KILOMBERO AONDOLEWA

0
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuondoa kwenye majukumu yake aliyekuwa Meneja wa TARURA Wilaya...

RAIS SAMIA AMKUBALI DKT. BITEKO KWENYE KUISIMAMIA SEKTA YA MADINI.

0
Ampa Kongole kwa kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye Pato la Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameeleza...

RAIS SAMIA AMEIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA KUISIMAMIA SEKTA HIYO.

0
Atoa maagizo kwa Wizara ya Madini Asema Mkoa wa Geita ni kinara wa dhahabu Asisitiza viwanda vya kusafisha dhahabu kisasa vipo hapa Tanzania Serikali kuangalia upya tozo...

RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI OFISI ZA MACHINGA KILA MKOA KUANZA.

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza Ofisi ya Rais, TAMISEMI kuandaa ramani maalum ya kujenga Ofisi za wafanyabiashara...
PSPTB YASHAURIWA, OFISI, DAR

PSPTB YASHAURIWA KUTOKUFUNGA OFISI ILIYOPO JIJINI DAR ES SALAAM

0
Na Magreth Mbinga Bodi ya manunuzi ya Umma PSPTB yashauriwa kuto kufunga ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuhamia rasmi Dodoma toka...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA