Home Biashara TANZANIA YAWA MWANACHAMA KAMILI WA SADC KATIKA UPANDE WA USAFIRI WA ANGA...

TANZANIA YAWA MWANACHAMA KAMILI WA SADC KATIKA UPANDE WA USAFIRI WA ANGA (SASO)

NA MWANDISHI WETU

Tanzania imekuwa mwanachama kamili wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika katika upande wa usafiri wa Anga (SASO) baada ya kutia saini mkataba wa kuridhia kuwa mwanachama.

Zoezi hilo limefanywa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ambapo mkataba huo utasimamia Usafiri wa anga kwa niaba ya Tanzania na hatua hiyo itapelekea kufunguka kwa fursa za kujifunza miongoni mwa nchi wanachama hususani kujua ya utendaji kwenye usafiri huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!