Home Kitaifa RAIS SAMIA ATENGUA VIONGOZI Kitaifa RAIS SAMIA ATENGUA VIONGOZI By Emmanuel PS - January 24, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa Viongozi mbalimbali katika nafasi zao leo tarehe 24/01/2023 ambapo utenguzi huo umeanza tarehe 22/01/2023.