Home Kitaifa RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA TANZANIA

RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) Jeremiah Yoram Katungu kuwa Mkuu wa Jeshi hilo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 31 Julai, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!