Home Kitaifa RAIS SAMIA AHAMISHA WAKUU WA MIKOA WANNE Kitaifa RAIS SAMIA AHAMISHA WAKUU WA MIKOA WANNE By Emmanuel PS - May 15, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya Uhamisho wa baadhi ya wakuu wa Mikoa; Mwanza, Morogoro, Kagera na Dar es Salaam. Uhamisho wa viongozi hao unaanza mara moja.