Home Kitaifa Breaking News: Rais Samia Afanya Mabadiliko Ya Muundo Wa Wizara Mbili,Ateua Mawaziri...

Breaking News: Rais Samia Afanya Mabadiliko Ya Muundo Wa Wizara Mbili,Ateua Mawaziri Na Kuhamisha Viongozi Mbalimbali

Celebrating 25 Years of NHIF
BREAKING NEWS:RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI,ATEUA MAWAZIRI NA KUHAMISHA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Wizara mbili kwa kuzitenganisha ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa Serikali.

Wizara hizo ni Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambayo sasa imegawanywa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

FAHARI AFYA

Aidha, Wizara ya Mifugo na Uvuvi imegawanywa na kuwa Wizara ya Mifugo na Wizara ya Uvuvi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!