Tazama vichwa vya habari vilivyopewa kipaumbele katika kurasa za mbele za magazeti mbalimbali nchini leo, vikigusia mabadiliko ya uongozi serikalini, mikataba ya maendeleo kati ya Tanzania na Ufaransa, masuala ya uchumi, siasa na matukio mengine muhimu ya kitaifa na kimataifa.
















































