Tuesday, October 13, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

AJIRA MPYA NI MOJAWAPO YA VIPAUMBELE VYA SERIKALI KUWEZESHA WANANCHI KUPATA HUDUMA BORA

0
Na. Veronica Mwafisi-Uyui Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Rais wa Jamhuri ya...

DKT. MLIMUKA AIPONGEZA FCC KWA MAPAMBANO DHIDI YA BIDHAA BANDIA

0
Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa FCC wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya...

CHANJO ZA TVLA NI BORA NA ZINA MATOKEO CHANYA – RAS TANGA

0
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bw. Rashid Kassim Mchatta, amesema chanjo zinazozalishwa na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) zimeendelea kuthibitisha ubora...

WAZIRI SANGU NA MWENYEKITI AL MANSOUR HOLDING WATETA MASUALA YA UWEKEZAJI, AJIRA NA MAENDELEO...

0
Na: OWM (KAM) – Doha, Qatar Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amekutana na kufanya mazungumzo...

TASAF AWAMU YA III YAJA, VIONGOZI ZINGATIENI VIGEZO VYA KUWAPATA WALENGWA KUEPUSHA MALALAMIKO YALIYOJITOKEZA...

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wananchi kuhusu Mfuko wa Maendeleo...

TIArb YATOA ELIMU YA USULUHISHI SABASABA

0
Taasisi ya Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara kwa Njia Mbadala Tanzania (TIArb) imewataka wananchi, wafanyabiashara na wawekezaji kutembelea banda lake katika Maonesho ya 50...

WAZIRI MKUU MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA “MAMA SAMIA DOCTRINE OF LAW”

0
Na Magrethy Katengu-Dar es Salaam Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, TPBA, kimetangaza rasmi uzinduzi wa kitabu kipya cha “Falsafa ya Sheria ya Mama Samia”...

TBS WATOA ELIMU YA VIWANGO KWA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA SABASABA 2026 , WAPATA MUITIKIO...

0
  Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuonyesha dhamira yake ya kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kutumia Maonesho ya...

SERIKALI KUENDELEA KUWAUNGA MKONO WAZALISHAJI WA NDANI

0
Serikali imeahidi kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji wa ndani ili kuongeza uwezo wa uzalishaji na kukuza mauzo ya bidhaa nje ya nchi hatua inayolenga kuimarisha...

UTAFITI WA KIMATAIFA WAITAMBUA WRRB KWA KUIMARISHA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

0
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imetunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kufanikisha utafiti kuhusu maboresho ya kisasa ya mnyororo wa...