Friday, February 20, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

WATUMISHI WAWE WASAIDIZI WA BIASHARA, SI VIKWAZO

0
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zinazosimamia sekta hiyo wametakiwa kuhakikisha wanakuwa chachu ya maendeleo ya biashara badala ya kuwa...

WATOTO FOUNDATION YAFANIKIWA KUGAWA MADAFTARI NCHINI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Taasisi ya Watoto Foundation yenye makao yake jijini Dar es Salaam, imesema imeanza kutekeleza mradi wake mpya wa Soma na Mama,...

REA YATOA ELIMU YA UMEME MKOANI TANGA

0
Wakala wa nishati vijijini (REA) umeendelea na zoezi la uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya umeme. Uhamasihaji umefanyika wilayani Pangani ambapo maafisa wa REA na...

WAZIRI MKUU AMALIZA ZIARA TANGA, AAGIZA FAGIO LIPITE MUHEZA

0
* Ahimiza Wakuu wa Wilaya wakasikilize wananchi na kutatua kero zao WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM – TAMISEMI), Prof. Riziki...

REA YAHIMIZA WANANCHI KUJIUNGA NA HUDUMA YA UMEME TANGA

0
Wakala wa nishati vijijini (REA) umepiga kambi Mkoani Tanga kwa ajili ya zoezi la uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya umeme. Uhamasihaji huo umefanyika katika...

MKENDA: ELIMU YA MSINGI KUPUNGUZWA HADI MIAKA SITA KUANZIA 2027/2028

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda,akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo elekezi ya Wathibiti Ubora wa Shule ngazi ya wilaya uliofanyika   wilayani...

MGOMBEA UBUNGE NLD AIKUMBUSHA SERIKALI KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI

0
Na Boniface Gideon, Tanga Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 kupitia chama cha National League for Democracy...

SERIKALI YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA KUPELEKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA...

0
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amezindua awamu ya kwanza ya mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia watu zaidi...

TRA YAFUNGUA KITUO KIPYA CHA HUDUMA ZA KODI MASAKI DSM

0
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefungua kituo kipya cha huduma katika eneo la Masaki Dar es Salaam ambacho kipo chini ya mkoa kodi Kinondoni...

CG MWENDA AONYA WANAODANGANYA KUFUTA MADENI YA KODI

0
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka wafanyabiashara wenye madeni ya kodi kufika kwenye ofisi za mamlaka hiyo...
💬
Support