Home 2026
Yearly Archives: 2026
NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAPIGA HODI SIMANJIRO.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) leo, Jumatano tarehe 21 Januari, 2026, umeendelea na usambazaji na uuzaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa...
MAKAMPUNI 300 KUUNGANISHWA NA MFUMO WA “IDRAS”
Na Magrethy Katengu
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema zaidi ya makampuni 300 yataunganishwa na mfumo wa kisasa wa usimamizi wa kodi za ndani ujulikanao...
SERIKALI YAITAKA CBE MOSHI KUZALISHA WATAALAMU WENYE UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA...
Serikali imekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuelekeza nguvu katika kuzalisha wataalamu wabunifu, wenye ujuzi wa hali ya juu na uwezo wa kutatua...
MKURUGENZI MKUU REA AWAFUNDA WAHANDISI WA MIKOA
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy amewaelekeza Wasimamizi wa Miradi wa Mikoa kuhakikisha wanaimarisha Mawasiliano na Ushirikiano na wadau...
NKASI YAJENGEWA UWEZO MASUALA YA MENEJIMENTI YA MAAFA
Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu imewajengea uwezo wajumbe wa Kamati ya Wataalamu ya Usimamizi...
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo mwani korosho na...
UJUMBE WA WIZARA WATEMBELEA NCHINI RWANDA.
Ujumbe kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Zanzibar, Ofisi ya Waziri...
SERIKALI YAONDOA URASIMU KUKUZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA
Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa urasimu ili kuharakisha uwekezaji katika viwanda vya dawa nchini kupitia mkakati mpya wa kuhimiza maendeleo ya sekta hiyo ya...
AFYA MSINGI WA MAENDELEO YA UCHUMI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amesema afya ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi ya taifa, akisisitiza kuwa wananchi wenye...
MIKATABA YA TRILIONI 1.2 YASAINIWA NA REA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 9,009 NCHINI.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Waziri wa Nishati Mhe Deogratius Ndejembi amesema kuwa upatikanaji wa Umeme kwa Watanzania wote ni agenda ya Kitaifa na ya kimkakati na...













