KAMPENI YA TBS ELIMU KWA UMMA KUTIKISA WILAYA ZA MKOA WA ARUSHA
Na Adery Masta.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaendelea na Kampeni yake Ya kutoa Elimu Kwa Umma katika Ngazi za Wilaya ambapo hadi sasa Shirika...
RC MTAMBI AWATAKA WASHIRIKI MISS LAKE ZONE KUWA MABALOZI KUTANGAZA UTALII WA NDANI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka washiriki wa shindano la Miss Kanda ya Ziwa kuwa mabolozi wa utalii wa...
DC AWAUNGA MKONO WANANCHI BAADA YA KUCHANGISHANA MILIONI 6.5 KUJENGA MRADI WAO WA MAJI
Wananchi wa kijiji cha Lusitu kata ya Luponde Halmashauri ya mji wa Njombe wamelazimika kuchangishana zaidi ya shilingi milioni 6.5 ili kujenga mradi wa...
ZAO LA MPUNGA LATAKIWA KUFANYIWA TAFITI ILI LIWE ZAO ENDELEVU NCHINI
Baraza la Mchele Tanzania RCT wameomba Serikali' na Wadau wa elimu nchini wawekeze kwenye tafiiti ndogo ndogo za zao la mpungai kuanzia elimu ya...
WHO YATOA MSAADA WA PIKIPIKI 12 KWA SERIKALI YA TANZANIA
Shirika la Afya Duniani (WHO), kwa msaada wa ufadhili kutoka Mfuko wa Ireland, limetoa msaada wa pikipiki 12 kwa Serikali ya Tanzania ili kuboresha...
DC AIPONGEZA SHULE YA MUSABE KWA KUFANYA VIZURI KITAALUMA
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi ameipongeza Shule za Musabe kwa kuwawezesha wanafunzi kuwa na ufaulu mzuri wa mitihani yote ya shule za...
DKT JAFO: NI FARAJA YANGU KUONA WANANCHI WANAPATA HUDUMA BORA YA AFYA
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Daktari Selemani Said Jafo amewasihi wataalamu wa afya kuboresha utoaji huduma za afya kwa wananchi.
Dkt. Jafo ametoa rai...
TANZANIA NA CHINA WASAINI MAKUBALIANO YA BIASHARA YA ASALI
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Tanzania na China zimesaini saini ya makubaliano ya biashara ya kuuza Asali ya Tanzania nchini China ikiwa ni fursa kukuza...
FAMILIA YAMUANGUKIA RAIS SAMIA AWASAIDIE KUREJESHEWA ARDHI WALIYOPORWA
Na Boniface Gideon -TANGA
Familia ya Marehemu Bakari Kidawa wa Jijini Tanga imemumba Rais Samia kuingilia kati mgogoro wao wa shamba kati yao na Uongozi...
ASKARI KATA YA KISANGURA AMSHUKURU MGANGA MFAWIDHI HOSPITALI YA SERENGETI KUSAIDIA JAMII
Na Shomari Binda-Serengeti
ASKARI poiisi Kata wa Kata ya Kisangura iliyopo wilayani Serengeti mkoani Mara Genuine Kimario amemshukuru mganga mfawidhi wa hospital ya wilaya hiyo...













