Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WAKUU WA MIKOA WANOLEWA KUTUMIA MATOKEO YA SENSA KATIKA. UTEKELAZAJI WA MAJUKUMU YAO

0
Na Magrethy Katengu Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa wametakiwa kutumia matokeo ya sensa kwa wananchi ya mwaka 2022 ili iwasaidie katika kupanga...

KITAJI YA KWANZA KUTINGA 8 BORA IRINGO IKIAGA MASHINDANO YA MATHAYO CUP

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Kitaji fc imekuwa ya kwanza kutinga hatua ya 8 bora ya mashindano ya Mathayo Cup huku Iringo fc ikitupwa nje...

WATANZANIA CHANGAMKIENI FURSA ZA. MKUTANO WA AGRF

0
Na Magrethy Katengu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewashauri wakazi wa Dar es Salaam kuchangamkia fursa zitakazotokana na mkutano wa Jukwaa...

WENYE MASHAKA AU WASIWASI NA DIRA (MITA) ZA MAJI WAENDE WAKALA WA VIPIMO (WMA)...

0
Wenye mashaka au wasiwasi na dira (mita) yake ya maji anakaribishwa kituo cha uhakiki wa Vipimo Misugusugu kuhakiki dira hiyo ili ajiridhishe iwapo kiasi...

DKT. SLAA AVULIWA HADHI YA UBALOZI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya ubalozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuanzia leo septemba 1,...

MWANACHUO ASHINDA MILIONI MOJA YA TIGO CHA WOTE KIRAHISII

0
 Na Mwandishi Wetu.  Ana Juma Mabibi , mwanachuo ni miongoni mwa washindi wa Milioni Moja ambayo itamsaidia  kutimiza  mahitaji yake muhimu ya chuo na kufanya...

BULAYA AGUSWA NA TATIZO LA FEDHA ZA WASTAAFU NA UHAMISHO ZA ASKARI POLISI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara, Ester Bulaya amesema kuna tatizo la wastaafu na uhamisho kwa askari wa jeshi la polisi...

BRELA yatumia Maonesho ya 18 Biashara ya Afrika Mashariki kukuza Uwekezaji wa biashara Mwanza

0
Afisa Habari wa wakala wa usajili Biashara na Leseni (BRELA) Gloria Mbilimonyo amesema kutokana na ukuaji wa Viwanda katika Jiji la Mwanza kupitia Maonesho...