Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

LUTUMO AMEWATAKA ASKARI POLISI KUWA NA UTII

0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina Msaidizi wa Polisi Pius Lutumo, amewataka Askari Polisi kufanya kazi kwa mujibu wa viapo vyao. Ameyasema hayo...

TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUACHA KUINGIZA BIDHAA ZISIZOKIDHI VIWANGO

0
Shirika la viwango Tanzania(TBS)limewataka wafanyabiashara nchini kujiepusha na uzalishaji,uingizaji pamoja na usambazaji wa bidhaa zisizo na ubora ili kuepusha Tanzania kuwa dampo la bidhaa...

OMTO VICOBA DAY 2023 YAJA NA MIRADI KABAMBE

0
Rais wa Vicoba Endelevu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya YEMCO Vicoba, Mohamed Basanga akizungumza na Viongozi wa  Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization...

RAIS SAMIA AZINDUA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA MKOANI ARUSHA

0
Viongozi mbalimbali wakipiga makofi kufurahia uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika lililozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

MFANYABIASHARA RAMA MSOMI AAMUA KUWEKEZA ZAIDI TANZANIA

0
Na Shomari Binda-Musoma MFANYABIASHARA mtanzania mwenye makazi nchini Kenya, Ramadhan Msomi ameamua kuwekeza zaidi hapa nchini baada ya serikali kupunguza vikwazo vya uwekezaji. Uwekezaji alioamua kuwekeza...

PROF. KITILA MKUMBO AWAUNGA MKONO WANANCHI MAVURUNZA UJENZI WA BARABARA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ameunga mkono juhudi za Wananchi wa Shina namba 7 mtaa wa Mavurunza...

WAZIRI MKUU AMKARIBISHA DKT. BITEKO OFISINI

0
*Ampongeza kwa kuaminiwa na Mheshimiwa Rais, amuahidi ushirikiano WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Septemba 2, 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi...

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAENDELEA KUPEWA MAFUNZO NA JESHI LA POLISI

0
Wakazi wa jiji la Mwanza wameendelea kuvutiwa na elimu inayotolewa na Jeshi la Polisi katika maonesho ya kibiashara ya Afrika Mashariki (EAC) yanayofanyika katika...

SAMSON RYOBA AWAAHIDI USHIRIKIANO MADIWANI HALMASHAURI YA SERENGETI

0
Na Shomari Binda-Serengeti MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Serengeti, Samson Ryoba, ameahidi ushirikiano kwa madiwani ili kuwaletea wananchi maendeleo. Kauli hiyo ameitoa baada ya kuchaguliwa kwa...