Home 2023
Yearly Archives: 2023
ROTARY YAMWAGA TENA MADAWATI SHULE ZA MSINGI DAR ES SALAAM
KLABU ya Rotary ya Dar es Salaam imekabidhi madawati 100 kwa shule ya msingi Mtakuja manispaa ya Kinondoni na kufikisha idadi ya madawati takriban...
DKT. KIJAJI APONGEZA JUHUDI KUBWA ZINAZOFANYWA NA RAIS SAMIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) leo tarehe 09 Septemba, 2023 ametembelea kiwanda cha kutengeneza vioo cha Sapphire Float Glass...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO YAPONGEZA UTENDAJI...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa utendaji kazi mzuri na kuliagiza kupanua...
CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM KIMEZINDUA DAWATI LA KIJINSIA
Makamu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Fedha Utawala na Mipango, Dkt. Lucas Mwisila akizungumza kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa...
Wapongeza Uzinduzi wa Kiwanda Cha Sela tepu
Na Neema Kandoro Mwanza
WAWEKEZAJI wazawa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuanzisha miradi ya aina mbalimbali ili taifa liweze kuwa na mapinduzi ya viwanda kutokana na...
Dkt.Biteko aiagiza Wizara ya Ardhi Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi kwa ufanisi
✔️Atoa angalizo la kutogeuka kuwa Wizara ya kutatua migogoro ya ardhi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba...
MBUNGE GHATI CHOMETE AKABIDHI TOFALI 1000 UJENZI NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA SERENGETI
Na Shomari Binda-Serengeti
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara, Ghati Chomete amekabidhi tofali 1000 kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT wilaya...
Wilaya ya Serengeti ilivyojipanga na mikakati ya kilimo nchini kuunga mkono serikali
Na Shomari Binda
MWAKA 1975 akiwa mkoani Tabora, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akizungumza na viongozi wa mkoa huo alisisitiza suala la umuhimu...
SERIKALI KUYAFANYIA KAZI MAPENDEKEZO YA KUBORESHA TAASISI ZA HAKI JINAI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili zitafanyia kazi mapendekezo yaliyowasilishwa Serikalini kuhusu...
MWITIKIO WA KAULI YA WAZIRI AWESO, MIPAKA YAIMARISHA HIFADHI YA MAKUTOPORA
Maelekezo ya Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) kuhusu kuhifadhi na kuendeleza vyanzo vya maji hapa nchini kwa kuwashirikisha viongozi na wananchi yameshika...













