Tuesday, May 5, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

NYAKATO FC YA KWANZA KUTINGA NUSU FAINALI MASHINDANO YA MATHAYO CUP

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Nyakato fc imekuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya mashindano ya Mathayo Cup kwa kuifunga timu ya Kitaji fc bao...

WAZIRI SILAA AKOSHWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

0
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa utekelezaji mzuri wa miradi yake katika...

RC MTANDA AWAALIKA WANANCHI MAONYESHO YA “MARA DAY” WILAYANI SERENGETI

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara, Said Mtanda amewaalika wananchi kwenye naadhimisho ya maonyesho ya "Mara Day" yanayoanza kesho wilayani Serengeti. Akizungumza na Waandishi...

Mshindi kwa kilimo cha Pamba 2022 aahidi kupata kilo 2000 kwa hekari

0
Na Neema Kandoro, Nyang'wale MKULIMA mshindi kitaifa kwa kilimo cha pamba mwaka 2020/21 kutoka Kijiji cha Kaboha wilayani Nyang'wale Mkoani Geita amewataka wakulima kuongeza juhudi...

GEKUL AWATAKA MAHAKAMA KUSHIRIKIANA NA UTU KWANZA KUWAPA MSAADA YA KISHERIA WAFUNGWA NA...

0
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameagiza Mahakama na jeshi la Polisi kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana na shirika lisilo la...

THAILAND YAFUNGUA MILANGO WATANZANIA KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI

0
Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kuchochea...

ROBO FAINALI YA KWANZA MATHAYO CUP KUPIGWA KESHO, KITAJI FC DHIDI YA NYAKATO FC

0
Na Shomari Binda-Musoma MASHINDANO ya Mathayo Cup yaliyondaliwa na mbunge wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo,yamefika hatua ya robo fainali. Bingwa wa mashindano haya ataondoka...

Kiwanda kikubwa Cha Sela tapu kuzinduliwa Mwanza

0
Wawekezaji mkoani mwanza wameiomba serikali kuondoa vikwanzo ambavyo vinapelekea kuathiri maendeleo ya uwekezaji mdogo mdogo hapa nchi lengo likiwa ni KUKUZA viwanda vinavyochipuka na...

SHEREMBI AAHIDI KUENDELEZA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU, AFYA UKEREWE

0
Atoa Siku 24 kukamilisha Mradi wa Shule Mpya kwa fedha za SEQUIP Kata ya Namilembe Akizungumza na mafundi na vibarua (wakazi) wa eneo la mradi...

MBUNGE MATHAYO ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA TIMU YA KATA YA RWAMLIMI KUFUATIA KIFO...

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mchezaji Angelo Malima. Mchezaji huyo alikuwa akiichezea timu...