Home 2023
Yearly Archives: 2023
Wakulima ongezeni uzalishaji wa mazao ya mbegu za mafuta ya kula
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ametoa wito kwa Watanzania kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbegu za mafuta ya kula hususan...
BALOZI WA MAREKANI APONGEZA UTEUZI WA DKT DOTO BITEKO
Dkt. Biteko aahidi ushirikiano na Mashirika ya Kimataifa Sekta ya Nishati.
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko amekutana...
MBUNGE MUHONGO KUONGOZA HARAMBEE UJENZI SEKONDARI 2 JIMBONI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Profesa Sospeter Muhongo,anatarajiwa kuongoza harambee ya ujenzi sekonari jimboni humo.
Harambee ya kwanza itakayoongozwa na mbunge huyo itafanyika...
SIMBACHAWENE ATOA MAAGIZO TASAF
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameagiza kusitishwa kwa fedha zinazotolewa...
BRELA yakutana na Taasisi za Udhibiti kuboresha mazingira ufanyaji biashara nchini
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inakutana na Taasisi za Udhibiti ili kujadili mikakati ya pamoja ya namna ya kutatua mikinzano inayojitokeza...
NDC YATILIANA SAINI YA MIKATABA YA UCHIMBAJIA MAKAA YA MAWE NA MAKAMPUNI MATANO YA...
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo NDC limetiliana saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya mawe katika mradi wa Mchuchuma...
UN WOMEN yahamasisha Wanawake Pwani kugombea nafasi za uongozi katika chaguzi
UN WOMEN yahamasisha Wanawake wa Wilaya tatu za mkoa wa Pwani kushiriki uchaguzi iliwapate uongozi kwaajili ya chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji...
WAZIRI DKT. GWAJIMA: MTOTO ALIYE CHINI YA UMRI WA MIAKA 18 MARUFUKU KUONEKANA KWENYE...
Na Magreyhy Katengu
Wamiliki wa kumbi za starehe na Washereheshaji (MC) nchini, wametakiwa kuzingatia Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 ili ya kuwataka kutoruhusu mtoto...
TRC BORESHENI HUDUMA HUSUSANI KWA WASAFIRISHAJI WA MIZIGO
Na Magrethy Katengu
WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameitaka Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha inaisimamia Menejimenti kwenye eneo la...
DKT. ASHATU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji(Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza uhusiano wa kibiashara na China hususan katika uchakataji wa...













