Home 2023
Yearly Archives: 2023
DRC KONGO KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI TANZANIA
Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi...
WIZARA YA MALIASILI YAENDELEA KUKAKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Wizara ya Maliasili na Utalii imeshiriki kwenye kikao cha kuandaa machapisho yatakayotumika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na...
TBS ELIMU KWA UMMA YAZIFIKIA WILAYA ZA MKOA WA TABORA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaendelea na Kampeni yake Ya kutoa Elimu Kwa Umma katika Ngazi za Wilaya ambapo hadi sasa Shirika hilo limetoa...
MKOA WA NJOMBE UNAONGOZA KWA IDADI KUBWA YA MADINI MKAKATI NCHINI
Mtaka apokea Kitabu cha madini yapatikanayo Tanzania
Utafiti wa awali uliofanywa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ulibaini kuwa Mkoa wa...
TAASISI YA MWALIMU NYERERE YAWAKUMBUSHA VIJANA KILIMO CHA MANUFAA
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere imewakumbusha vijana kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo ili kuweza kupata manufaa.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu...
RAIS SAMIA ARUDISHA MATUMAINI MBARALI
Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
MAADILI MEMA MUHIMU KUFUNDISHWA KWA WATOTO
Na Neema Kandoro Mwanza
MAADILI mema kwa wanafunzi yanapaswa kujengwa katika ngazi ya familia na shuleni ili tuwe na taifa lenye kuheshimu misingi ya utamaduni...
MKUU WA MKOA IRINGA AFURAHIA KITABU CHA MADINI YAPATIKANAYO TANZANIA
Dendego atoa wito kwa GST Kushiriki Kongamano la Utalii wa Madini
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amesema mfumo unaotumiwa na Taasisi ya Jiolojia...
WALIMU 5 WASHIKILIWA NA POLISI MKOANI MARA KWA KUGHUSHI NYARAKA ILI KUJIPATIA FEDHA
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 10 wakiwemo walimu 5 kwa kufanya udanganyifu ili wajipatie fedha isivyo halali.
Watu hao walifanya udanganyifu...
WASHIRIKI 24 WATINGA KAMBI YA BINGWA KIBABE
VIJANA 24 wanatarajiwa kunufaika na onesho maalum la bingwa kwa kupewa mitaji kwa ajili ya kufanya shughuli zao za kimaendeleo na kutimiza ndoto zao.
Akizungumza...













