Tuesday, May 5, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

NYAMATARE YATINGA FAINALI MASHINDANO YA MATHAYO CUP 2023

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Nyamatare fc imekuwa ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya mashindano ya Mathayo Cup yanayoendelea mjini Musoma baada ya kuitoa...

GST YAENDELEA KUTEKEKEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU KUSAMBAZA VITABU VYA MADINI YAPATIKANAYO TANZANIA

0
Wakuu wa Mikoa na Wilaya waendelea kuvipokea Vitabu vya Madini Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kutekekeza agizo la Waziri Mkuu...

HIVI NDIVYO KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDLEO INAVYOENDELEA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma JIMBO la Musoma vijijini ni moja ya majimbo ambayo yanapiga kasi kubwa kwenye masuala ya miradi ya maendeleo kwa ushirikiano wa mbunge...

DKT. PHILIP MPANGO AWAZITAKA SERIKALI, TAASISI NA WADAU KUWEKEZA ZAIDI SEKTA YA MAJI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo,...

MUDRIK SORAGA AFUNGA MAFUNZO YA MRADI WA AWE KISIWANI PEMBA

0
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga jana terehe 19.09.2023 alifunga mafunzo na kuwakabidhi vyeti Wanawake waliohitimu...

MAJALIWA KUFUNGUA KONGAMANO LA TANO LA NISHATI TANZANIA 2023

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo septemba 20, 2023 anafungua kongamano na Maonesho ya Tano ya Nishati Tanzania 2023, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa...

WATOTO WAIOMBA SERIKALI KUONGEZA NGUVU ZAIDI KATIKA KUKABILIANA NA UVUVI HARAMU

0
Na Theophilida Felician Kagera. Baadhi ya watoto kata Kemondo Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera waiomba serikali kuongeza jitihada za kuutokomeza uvuvi haramu ndani ya Ziwa...

KANAL THOMAS ATOA WITO KWA GST KUSOGEZA HUDUMA ZA MAABARA RUVUMA

0
Amepokea Vitabu vya Madini yapatikanayo Tanzania kwa shangwe Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas ametoa wito kwa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa...

NAIMA MINGA ACHAGULIWA TENA KUWA NAIBU MEYA MANISPAA YA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma wamemchagua diwani wa viti maalumu Naima Minga kuwa Naibu Meya manispaa ya Musoma. Naima...

DADA WA KAZI AUNGUZWA KWA CHAI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE KWA TUHUMA ZA...

0
DADA wa kazi za ndani Filomena Erick (17) amejeruhiwa na mwajiri wake Janeth Dominick (26) kwa kumwagia chai ya moto kwa tuhuma za kuiba...