Tuesday, May 5, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

EWURA YAFUNGIA VITUO 3 VYA MAFUTA KWA MIEZI 6 KWA KUFICHA MAFUTA

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji EWURA imevifungia Vituo 3 vya uuzaji mafuta kwa muda wa miezi 6 Camel Oil- Gairo...

SERIKALI KUTUMIA MIEZI 18 KUMALIZA ADHA YA UMEME MASASI

0
Na Mwandishi wetu Serikali imeendelea na jitihada zake za kutatua adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika Mkoa wa Mtwara ili kuongeza ushiriki...

DIWANI GUNDA AKABIDHI KILO 800 ZA UNGA AKIZINDUA KAMPENI YA NISHIBISHE KWA WANAFUNZI SHULE...

0
Diwani wa viti maalum Halmashauri ya Kibaha vijijini Mheshimiwa Josephine Gunda amekabidhi kilo 800 za unga kwa Wanafunzi wa Shule za msingi na sekondari...

JUMUIYA YA MARIDHIANO YAKEMEA UVUNJIFU WA AMANI UNAOFANYWA KWA MASLAHI BINAFSI

0
NA MWANDISHI WETU, MWANZA JUMUIYA ya Amani na Maridhiano Tanzania Mkoa wa Mwanza, imewashauri viongozi wa dini ya Kiislamu na taasisi za dini hiyo,kuwa kioo...

NYAMATARE FC NYAKATO KUCHEZA NUSU FAINALI YA KWANZA MATHAYO CUP KESHO

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Nyamatare fc na Nyakato fc kesho zitakutana kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya mashindano ya Mathayo Cup. Mchezo huo...

COASTAL UNION WALAMBA DUME UDHAMINI KUTOKA ELSEWEDY CABLE

0
Na Boniface Gideon, TANGA Timu ya soka ya Coastal Union ya Jijini Tanga imemewatambulisha wadhamini wao wapya ambao watakuwa wadhamini kwa msimu mmoja wa ligi...

BODI YA WAKURUGENZI YA TAWA YAFANYA UKAGUZI WA KIKOSI MAALUMU CHA MBWA JNIA

0
Na Mwandishi wetu Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko imefanya ziara...

MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFI DUNIANI YAANZA NA FUKWE ZA BAHARI YA HINDI

0
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni jijini Dar es salaam Saad Mtambule ameongoza Wananchi wa Kata ya Kunduchi na Mashirika yasiyoya kiserikali kufanya usafi katika...

DKT. BITEKO AFANYA ZIARA JNHPP AAHIDI CHANGAMOTO YA UKOSEFU UMEME ITATATULIWA

0
Na Mwandishi wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaeleza watanzania kuwa changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya...

Mahafali ya 15 Messa yang’ara

0
KUWEPO kwa madarasa ya kulea watoto umri wa kuanzia mwaka na nusu ni njia ya kufanya wazazi wajishughulishe na shughuli za maendeleo bila kuathiriwa. Hayo...