Tuesday, May 5, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

RASILIMALI ZAIDI ZINAHITAJIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA

0
Na WAF, Newyork USA Ili tuweze kuutokomeza ugonjwa wa malaria, tunahitaji rasilimali zaidi na uwajibikaji wenye kuleta matokeo chanya kwenye mapambano dhidi ya malaria. Kauli hiyo...

MAJALIWA AHIMIZA UFUGAJI NA UVUVI WENYE TIJA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2024 ametembelea Soko la Kimataifa la mazao ya Uvuvi la Katembe-Magarini lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Muleba,...

WAZIRI MKUU AKAGUA VETA NDOLAGE, AHIMIZA UJENZI WA MABWENI KAMACHUMU

0
*Aonya wanaume wanaowakatisha masomo wanafunzi wa kike WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Ndolage na kuhimiza kiwe kimekamilika ifikapo Novemba...

MBUNGE OLE LEKAITA AMPA TANO RAIS SAMIA//BIL 1.104 UJENZI SHULE SHIKIZI WILAYANI KITETO

0
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

WADAU WAVUTIWA NA BANDA LA GST KATIKA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI MKOANI GEITA

0
● Wadau wa Sekta ya Madini waona umuhimu wa kutumia taarifa za GST Wadau mbalimbali wameeleza kuvutiwa na Kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania kinachopatikana katika...

WAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA USIMAMIZI WA MAADILI WALIMU PEKE YAO

0
Na Shomari Binda-Musoma WAZAZi na walezi wametakiwa kutowaachia usimamizi wa malezi ya maadili ya wanafunzi walimu peke yao. Kauli hiyo imetolewa na diwani wa Kata ya...

MAJALIWA AAGIZA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA WARUDISHWE MAKAO MAKUU

0
Asisitiza Rais Samia anataka uadilifu SerikaliniAhimiza mji wa Mutukula ujengwe kibiashara WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania...

MCHENGERWA AWATANGAZIA KIAMA WAKURUGENZI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA MRADI WA TACTIC

0
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mkurugenzi wa Halmashauri atakayeshindwa kusimamia Mradi wa...

WATANZANIA 28,600 WAVUNA MAMILIONI YA TIGO CHA WOTE

0
Washindi  elfu ishirini na  nane mia sita (28,600) wamepatikana kwenye kampeni ya Cha wote kutoka tigo tokea kuanza kwa kampeni hiyo iliyodumu kwa siku...

TBS WAKIFIKIA KIJIJI CHA MSOMERA, WAFANYA UKAGUZI WA BIDHAA ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI...

0
 Na Mwandishi Wetu Shirika la Viwango Tanzania ( TBS)  , jana Septemba 22,2023 katika Kijiji Cha Msomera Wilaya ya Handeni - Tanga limefanya Ukaguzi wa...