Home 2023
Yearly Archives: 2023
TANZANIA KUNUFAIKA NA UWEKEZAJI ENEO LA SINOTAN INDUSTRIAL PARK
Na Mwandishi wetu..Itaendelea kushirikiana na na Wizara ya Uwekezaji na TIC kuhakikisha wanaendelea kuweka mazingira mazuri ya kufanyabiashara na uwekezaji.
Kuhusu uwekezaji katika eneo la...
JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LATOA UJUMBE KUZUIA UHALIFU MASHINDANO YA MATHAYO CUP...
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara limewataka vijana kuitumia michezo kuinua vipaji vyao na kutojiingiza kwenye vitendo vya uhalifu.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu...
Aweso: Jamii ishirikishwe katika masuala ya maji
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Bodi za Mamlaka za Maji Nchini na kuwataka viongozi wa Sekta ya Maji kuhakikisha wanashirikiana na...
DHAHABU YA GGR YAIFUNGUA TANZANIA KIMATAIFA USAFISHAJI MADINI
GGR kuleta mabadiliko katika uongezaji thamani madini
Geita
Imeelezwa kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka...
SERIKALI YAPANGA KUNUNUA MITAMBO 15 YA UCHORONGAJI MIAMBA
•.Oktoba 2023 mitambo mitano itatolewa mkoani Dodoma
Sekta inachangia 56 % ya fedha za kigeni
Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji...
MTEMVU AKABIDHI HELMETS NA REFLECTOR KWA BODABODA KIJITONYAMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Comred Abbas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na mshikamano miongoni mwa wanaCCM...
RC MTANDA APONGEZA USHINDI WA BIASHARA UNITED LIGI YA CHAMPION SHIP
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mohamed Mtanda amepongeza ushindi wa timu ya Biashara United wa mabao 2-0 dhidi ya Copco ya...
JUDITH KAPINGA: MIRADI YA NISHATI KUMULIKWA
Na Dorina Makaya & Issa Sabuni
Naibu Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema, Miradi yote ya Nishati kuanzia sasa itasimamiwa kwa jicho la ukaribu...
WAKALA WA VIPIMO WMA NA JESHI LA ZIMAMOTO MKOA WA PWANI WATOA ELIMU KWA...
Jeshi la zimamoto mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na Wakala wa Vipimo WMA wametoa elimu ya kujilinda moto na jinsi ya kuhakiki ujazo wa...
NYAKATO FC MAKOKO KUUMANA KESHO JUMATATU KUTAFUTA MSHINDI WA 3 MATHAYO CUP
Na Shomari Binda-Musoma
MCHEZO wa kutafuta mshindi wa 3 wa mashindano ya Mathayo Cup utafanyika kesho saa 10 jioni kwenye uwanja wa Mara sekondari.
Timu za...













