Home 2023
Yearly Archives: 2023
MADIWANI BUKOBA WANOLEWA UTEKELEZAJI WA MPANGO JUMUISHI WA MMMAM KWA WATOTO.
Na Theophilida Felician Kagera.
Ikiwa ni juhudi za kuendeleza kasi ya utekelezaji wa mpango wa malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto hapa nchini...
ORYX GASI WAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI KUTHIBITI UKATAJI MITI KWA KUGAWA MITUNGI 3600...
Na Scolastica Msewa
Mitungi ya majiko ya gasi ya Kampuni ya Oryx 3600 imegaiwa kwa Wananchi wa mkoa wa Pwani ikiwa ni mpango wa Kampuni...
MBUNGE MATHAYO KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI KUIMARISHA USALAMA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Msthayo amesema ataendelea kushirikiana na jeshi la polisi mkoani Mara ili kuimalisha usalama.
Kauli hiyo ameitoa...
GEITA KINARA UZALISHAJI DHAHABU
2017- 2023 Kiasi cha kilogram 111,533.93 zimezalishwa
Leseni 803 za uchimbaji mdogo zatolewa
Mkoa wa Geita umetajwa kuwa kinara wa uzalishaji wa Madini ya dhahabu yanayochimbwa...
NDC yajivunia mafanikio yake ndani ya mwaka mmoja
Na Magrethy Katengu
SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC)limesema ndani ya kipindi cha mwaka mmoja linajivunia maendeleo yake kwa kufanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi...
JESHI LA POLISI MKOANI MARA KUFANYA DORIA YA PAMOJA NA MAKAMPUNI YA ULINZI
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara limesema lipo tayari kufanya doria ya pamoja na makampuni ya ulinzi ili kuwajengea uwezo wa uimalishaji ulinzi.
Kamanda...
WIZARA YA MADINI KURUSHA NDEGE YA UTAFITI GEITA
Kuongeza taarifa za utafiti wa kina
Lengo ni kutoka 16% kufikia 100%
Kutokana Wizara ya Madini kutambua mchango wa wachimbaji wadogo wa madini katika pato la...
WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUWAPA NAFASI YA KUPATA ELIMU WANAFUNZI WENYE ULEMAVU
Na Shomari Binda-Musoma
WAZAZI na walezi wametakiwa kuwapa nafasi watoto wenye changamoto ya ulemavu mbalimbali kupata elimu kuanzia msingi hadi vyuoni.
Naibu Meya wa manispaa ya...
TARURA MOROGORO YAENDELEA KUZIBORESHA BARABARA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Manispaa ya Morogoro inaendelea na matengenezo ya barabara ili wananchi waweze kusafiri kwa urahisi.
Hayo yameelezwa na...
NMB YAZINDUA PROGRAM YA MUDA KATI (MULTICURRENCYMEDIUM TEAM NOTE MNT)
Na Magrethy Katengu
BANKI ya NMB leo Septemba 25, imezindua rasmi Programu ya Muda wa Kati (Multicurrency Medium Term Note – MTN) yenye thamani ya...













