Tuesday, May 5, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WADAU WATAKIWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA...

0
Na Shomari Binda-Musoma WADAU na mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kutenga fedha kwenye bajeti zao kwaajili ya makuzi na malezi ya mtoto. Kauli hiyo imetolewa na...

MAONESHO YA BIASHARA YA TANGA WOMAN GALA YAZINDULIWA RASMI

0
Na Shafii Mohammed, TANGA Maonyesho ya Biashara yanayoshirikisha Wanawake Wajasiriamali maarufu Tanga Woman Gala msimu wa sita yamezinduliwa rasmi ambapo zaidi ya Wafanyabiashara 100 kutoka...

CHANDI MAGIRI KUNOGESHA FAINALI MATHAYO CUP 2024 UWANJA WA MARA SEKONDARI

0
Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Patrick Chandi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya mashindano ya Mathayo Cup...

BRELA YAWAFURAHISHA WAFANYABIASHARA MAONESHO YA SITA YA MADINI GEITA

0
Afisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni ( BRELA ) Vincent Nyanje ( kulia )  akimkabidhi cheti Cha usajili wa jina la...

BRELA WANOGESHA MAONESHO YA SITA YA MADINI GEITA , MBUNGE KANYASU AWAPONGEZA

0
Mbunge wa Jimbo la Geita Mhe. Constantine Kanyasu ( Kushoto ) akipokea maelezo kuhusu majukumu ya BRELA kutoka kwa Mkuu wa Sehemu ya Majina...

RASMI VIJANA KUPATIWA FURSA SEKTA YA MADINI

0
Waziri Mavunde Aainisha Programu ya MBT Itashirikisha vijana kwa asilimia 100 Asilimia 70 ya fedha za migodi ni manunuzi Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanisha Programu ya...

GST YAENDELEA NA TAFITI ZA MADINI MUHIMU NA MKAKATI

0
Dkt. Massawe ametoa wito kwa wadau kuitumia GST katika Tafiti za Madini Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kufanya utafiti wa...

WANANCHI KISIWA CHA RUKUBA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUANZA KUPOKEA VIFAA TIBA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI wa kisiwa cha Rukuba kilichopo jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kutoa vifaa tiba...

MAVUNDE APONGEZA UWEKEZAJI MAABARA YA MSA GEITA

0
Inapima Sampuli za Madini kwa Mionzi (PhotoAssay) Inatoa majibu ndani ya masaa mawili Asilimia 99.8 ya Wafanyakazi ni Watanzania Zaidi ya Shilingi Bilioni 5 zimewekezwa katika kampuni...

KAMPUNI YA TUNZAA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA

0
Na Magrethy Katengu Kampuni ya Kitanzania ijulikanayo kama Tunzaa Digitali Holdings Limited imesema itahakikisha inaendelea na ubunifu wa kujikita kutatua changamoto.za tabia za kifedha kwa...