Tuesday, May 5, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

TANZANIA KUFIKIA LENGO LA AFYA KWA WOTE MWAKA 2030

0
Serikali yaTanzania imejidhatiti kutekeleza malengo ya kufikisha huduma za afya kwa wote hadi ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu...

MBUNGE MATHAYO AISHUHUDIA MWIGOBERO FC IKITINGA FAINALI MATHAYO CUP 2023

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo ameshuhudia timu ya Mwigobero fc ikitinga fainali ya mashindano ya Mathayo Cup 2023. Katika nusu...

WANAFUNZI 9 WALIOANZA ELIMU MSINGI CHINI YA MTI WAMKOSHA MBUNGE OLE LEKAITA AWATABIRIA MAKUBWA

0
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba)...

PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI KUWAVUSHA VIJANA

0
NA. MWANDISHI WETU Imeelezwa kuwa, uwepo wa Programu ya Kuendelea Sekta ya kilimo na Uvuvi ya AFDP itasaidia kuwezesha jamii kwa kupewa elimu juu ya...

WITO WATOLEWA KWA JAMII KAGERA KUHAKIKISHA WATOTO CHINI YA MIAKA 8 WANAPATIWA CHANJO YA...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Mkuu wa wilaya Bukoba Mkoani Kagera Erasto Sima ametoa wito wakuwahimiza wazazi, walezi na jamii kwa ujumla mkoani Kagera kuhakikisha kila...

BRELA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 6 YA TEKNOLOJIA YA MADINI MKOANI GEITA.

0
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inashiriki katika Maonesho ya Sita (6) ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini ya mwaka 2023, kwa...

DC MTATIRO ATOA WITO KWA GST KUTOA MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI YA...

0
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ametoa wito kwa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kutoa elimu kwa Wachimbaji Wadogo...

WANANCHI KATA ZA LUHUNGA NA IHANU WILAYANI MUFINDI KUNUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA YA...

0
Mufindi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea na ujenzi wa barabara ya Iyegeya- Lulanda yenye urefu wa Km 10.4 kwa kiwango cha...

TANESCO WATAKIWA KUKAMILISHA KWA WAKATI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME KATIKA MJI WA SERIKALI...

0
Na; Mwandishi Wetu – Dodoma Shirika la Umeme Nchini TANESCO limetakiwa kukamilisha kwa wakati mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya umeme wa chini unaoendelea katika...

TANZANIA YAPATA BILIONI 3.3 KWA KUUZA LITA 272, 444 ZA VIUATILIFU VYA KUUA MAZALIA...

0
TANZANIA imepata kiasi cha shilingi bilioni 3.3 kwa kuuza lita 272, 444 za viuatilifu vya vya kuua mazalia ya mbu kupitia kiwanda cha Tanzania...