Home 2023
Yearly Archives: 2023
TUME YA MADINI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA UKUSANYAJI WA MADUHULI
Yapitisha maombi mapya 7596 ya leseni za madini kuanzia Julai hadi Septemba, 2023
Mhandisi Samamba awataka watanzania wengi kuwekeza kwenye Sekta ya Madini
Ili kuhakikisha kuwa...
Shirika la bima (NIC) laja na neema kwa Vikundi
SHIRIKA la Bima (NIC) limewataka watanzania walio katika vikundi kujiunga katika mfuko unaohudumia misiba ili waweze kumudu matukio hayo yanayojitokeza kwa ghafla na kuleta...
BUKOBA DC YAJIPANGA KUHAKIKISHA WAZAZI NA WALEZI WANACHANGIA CHAKULA CHA WATOTO IPASAVYO SHULENI
Na Theophilida Felician, Kagera
Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera itaendelea kuwahimiza wazazi na walezi wa watoto kushiriki suala la kuchangia chakula cha watoto shuleni kama...
UTAFITI WA GST WAONGEZA KASI YA UKATAJI LESENI MTWARA
Serikali kupitia Taasisi ya Jilolojia na Utafiti wa Madini (GST) imefanya utafiti wa awali na kuainisha madini yanayopatikana katika Mkoa wa Mtwara hatua iliyosaidia...
WANANCHI KISIWA CHA RUKUBA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAANZA UJENZI WA SEKONDARI
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba kilichopo kwenye jimbo la Musoma vijijini wameanza ujenzi wa shule ya sekondari ili wanafunzi waweze kusomea hapo.
Kwa...
TALGWU KUUNGANA NA NCHI NYINGINE KUADHIMISHA SIKU YA MIJI DUNIANI
NA Mwadishi wetu
KATIKA Kuadhimisha siku ya miji duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Oktoba 31 tangu kuwnzishwa kwake 2014, Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali...
TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD YAWAFIKIA WANANCHI KAGERA UCHUNGUZI WA SARATANI
Na Theophilida Felician Kagera.
Taasisi ya Saratani Ocean Raod ipo Mkoani Kagera kuanzia leo Tarahe 31 Oktoba mpaka Tarehe 2 mwaka huu wa 2023 ikiendelea...
TMA YATAHADHARISHA MVUA KUBWA MIKOA YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM NA VISIWA VYA...
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua...
UTAFITI WA VIASHIRIA VYA VVU NA UKIMWI WAKAMILIKA HUKU UKIWA NA MATOKEO CHANYA.
NA MWANDISHI WETU- DODOMA
Imeelezwa kuwa Tanzania imepata Matokeo chanya katika Mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI na kwamba idadi ya maambukizi mapya inaendelea kupungua...
MBUNGE MATHAYO AOMBA FEDHA UBORESHAJI KITUO CHA AFYA BWERI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ameiomba serikali fedha kwaajili ya uboreshaji wa kituo cha afya Bweri.
Maombi hayo ameyaelekeza kwenye...













