Sunday, May 3, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

CPC WAWEZESHA VIJANA 50 KUTAPATA MAFUNZO SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE KIBAHA PWANI

0
Na Scolastica Msewa, Kibaha.CHAMA Cha Kikomunisti cha nchini China CPC kimetoa ufadhili wa mafunzo mafupi ya siku kumi kwa wanachama 50 wa Chama Cha...

KINANA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA ZELOTHE

0
30 Oktoba, 2023 Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahaman Kinana amewaongoza Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali pamoja na maelfu...

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA BALOZI WA KWANZA WA ALGERIA NCHINI TANZANIA

0
Balozi wa Tanzania Nchini Algeria Iman Njalikai leo Oktoba 30, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Noureddine DJoudi, Rais wa Taasisi ya...

SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WACHIMBAJI WADOGO KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA KATIKA UCHENJUAJI MADINI – WAZIRI...

0
Kuachana na Matumizi ya Zebaki Mwaka 2020 Tanzania iliuridhia Mkataba wa MINAMATA Kuwawezesha kuchenjua kupitia CIP Na.Samwel Mtuwa - Chunya. Mwaka 2030 ndio mwisho wa matumizi ya kemikali...

MBUNGE ANNE KILANGO. MICHEZO INASAIDIA KUWAJENGEA VIJANA MAHUSIANO MAZURI.

0
Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mbunge wa Same jimbo la Mashariki Mhe. Anne Kilango amesema Michezo inasaidia kuwajengea vijana mahusiano mazuri katika nyanja mbalimbali ikiwemo za...

VIJANA 3095 WAMEHITIMU MAFUNZO KATIKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI (JWTZ) RTS KIHANGAIKO MSATA...

0
Na Scolastica Msewa, Msata. Vijana 3095 waliohitimu mafunzo katika shule ya awali ya kijeshi ya Kihangaiko Msata Mkoani Pwani na kuwa Askari wapya wa jeshi...

WAZIRI MAVUNDE APOKEA CHANGAMOTO ZA WACHIMBAJI WADOGO ITUMBI

0
Ni ukosefu wa Mitaji , Nishati ya Umeme na Vifaa duni vya uchimbaji Ubovu wa miundombinu ya Barabara katika migodi Wizara ya Madini - Chunya. Waziri wa...

Prof. KITILA AWATAKA VIJANA KUWAAMBIA UKWELI VIONGOZI WANAPOKOSEA BADALA YA KUWAPAMBA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amewataka vijana kuacha kuwa 'Machawa'...

KILOGRAMU 6.93 ZA DHAHABU ZAKAMATWA ZIKITOROSHWA CHUNYA

0
Yenye thamani ya shilingi milioni 961 za kitanzania Takribani leseni 964 za wachimbaji wadogo zinafanya kazi Wastani wa Kg 250 za dhahabu uzalishwa kwa mwezi wilayani...

KAMPENI YA MASTABATA YAZIDI KUSHIKA KASI, MIL. 350 KUTOLEWA KILA WIKI

0
BENKI ya NMB imeendelea kutangaza neema kwa wateja wake ambapo kupitia kampeni ya mpya ya  Mastabata Halipoi itaweza kugawa zawadi kemkem sambamba na safari...