Sunday, May 3, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

RC MTANDA AKUMBUSHA MAWASILIANO NA MAHUSIANO YA VIONGOZI KUJENGA MKOA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mohamed Mtanda amekumbusha kuwepo kwa mawasiliano na mahusiano ya karibu ya viongozi ili kujenga mkoa. Kauli hiyo...

DKT. KIJAJI AKERWA NA TAASISI ZA SERIKALI ZENYE MAMLAKA YA UDHIBITI KUENDELEA KUFUNGIA BIASHARA...

0
Na Scolastica Msewa, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji ameonyesha kukerwa kuendelea kufungwa kwa biashara na viwanda kupitia...

WIZARA YA MADINI YAFANYA MKUTANO WA PILI KWA KUWAPA WACHIMBAJI WAKUBWA, WA KATI MWELEKEO...

0
Ikiwa ni Jitihada za Serikali kuendelea kuweka mazingira rafiki ya kiuwekezaji katika Sekta ya Madini nchini, Wizara ya Madini na Chemba ya Migodi zimekutana...

WANANCHI VIJIJI VYA MAYANI, TEGERUKA NA KATARYO WAMSHUKURU PROF. MUHONGO KWA MRADI WA MAJI

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI wa vijiji 3 vya Mayani,Tegeruka na Kataryo wamemshukuru mbunge wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo kwa juhudi za ufatiliaji...

TBS YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI , MAONESHO YA BRELA

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya Kwanza ya BRELA na wadau Wake yanayoendelea katika Viwanja vya Mlimani City jijini...

EWURA YAFUNGIA VITUO 2 VYA MAFUTA KWA KUHODHI MAFUTA

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imevifungia vituo viwili vya Mafuta GAPCO Tanzania Limitedi Moshi Service Station,leseni no...

MISS TANZANIA 2023 AWA KIVUTIO ONYESHO LA BIDHAA ZA VITO NA USONARA KATIKA USIKU...

0
Waziri wa Madini nchini Malawi Mhe. Monica Chang’anamuno amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi na...

AZAKI WAJENGEWA UWEZO WA MATUMIZI SAHIHI YA TEKNOLOJIA

0
Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika wiki ya AZAKI inayoendelea Jijini Arusha wamejengewa uwezo wa matumizi sahihi ya teknolojia katika ustahimilivu wa fedha ili kuziwezesha Asasi...

WANAWAKE WAFANYABIASHARA WANOLEWA SOKO LA USHINDANI LA KIMATAIFA

0
Tanzania Women Chamber of Commerce kwa kushirikiana na East African Women in Business Platforms, 26.10.2023 iliendesha Semina elekezi kwa wanawake wafanyabiashara katika kuona fursa...