Home 2023
Yearly Archives: 2023
KLM KUJA NA NDEGE MPYA 50 ZA AIR BUS KWA SAFARI ZA MABARA KUANZIA...
Shirika la ndege la AIR FRANCE KLM limetia saini makubaliano na Airbus kwa jumla ya ndege 50 za Airbus A350-900 na A350-1000 zitakazotumwa kwa...
TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MAKUBALIANO KUONDOA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA
Makatibu Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia...
CHANGAMOTO ZA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA KUTATULIWA
Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba 30, 2023 ili kuiwezesha sekta binafsi kufanya biashara bila vikwazo vyovyote baina...
MWENYEKITI WA CCM PWANI ATAKA STAHA KUWAONYA VIONGOZI WA SERIKALI WAKIKOSEA JAMBO
•VIONGOZI WA SERIKALI WASIUMBULIWE HADHARANI - MLAO
Na Scolastica Msewa, Kibaha
Mwenyekiti wa CCM Mkoani Pwani Mwinyishehe Mlao amewataka Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa...
SERIKALI ITAENDELEA KUWASILISHA TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuwasilisha taarifa kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano unaofanyika kupitia vikao baina ya Serikali zote...
RC MTANDA AWAKUMBUSHA WALIMU KUJIANDAA KABLA YA KUSTAFU UTUMISHI WA UMMA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amewakumbusha walimu wanaotarajiwa kustafu kujiandaa kabla ya kuachana na utumishi wa umma.
Akizungumza na walimu...
TANZANIA KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA HIARI KATIKA UTAYARI WA KUKABILIANA NA MAJANGA
NA. MWANDISHI WETU
Imeelezwa kuwa Serikali itaendelea kufanya tathmini ya hiari dhidi ya utayari wake katika kukabiliana na majanga hasa milipuko ya magonjwa hivyo tathmini...
VIJANA WA CCM NA UWT WAMETAKIWA KUENDELEZA AMANI NA MSHIKAMANO ULIOPO KATI YA TANZANIA...
Na Scolastica Msewa, KibahaKatibu wa Nec Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI Rabia Abdallah Hamid amewataka vijana viongozi wa CCM kuendeleza amani maelewano na...
MHE. KAPINGA AWATAKA REA KUONGEZA KASI YA KUUNGANISHA UMEME KWA WANANCHI KATIKA VIJIJI
Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisi
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia...
BODI YA WAKURUGENZI TBS WAFANYA ZIARA BANDARI YA BAGAMOYO NA MBWENI
BODI ya Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetembelea katika bandari ya Bagamoyo na Mbweni kwa lengo la kutazama mambo yanavyofanyika katika ukaguzi...













