Home 2023
Yearly Archives: 2023
TBS YAADHIMISHA WIKI YA UBORA DUNIANI NA KUTOA TUZO KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI
MKURUGENZI wa Maendeleo ya Viwanda kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Sempeho Nyari amewataka wazalishaji wa bidhaa nchini na watoa huduma kutoka sekta za...
PROF. MUHONGO ASHAURI MIPANGO YA BAJETI YA SERIKALI ILENGE KUONDOA UMASIKINI NCHINI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameshauri mipango ya serikali ilenge kupunguza na kuondoa umasikini kwa kasi kubwa.
Ushauri huo...
DC CHIKOKA AWAPONGEZA MADIWANI MANISPAA YA MUSOMA NA KUSHAURI KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Rorya Juma Chikoka ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Musoma amewapongeza madiwani wa manispaa ya Musoma...
TANZANIA IMEPOKEA MKOPO WA DOLA MILIONI 13 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO
Tanzania imepokea mkopo wa dola milioni 13 sawa na shilingi bilioni 32 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Saudi kwa ajili ya ujenzi wa njia...
MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU
*Asisitiza kazi ya uthamini si ya wababaishaji au vishoka
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wathamini wote wawe waadilifu, wenye weledi na wazingatie miiko ya taaluma...
DKT SHEIN ATETA NA VIONGOZI WA CHUO KIKUU MZUMBE
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Ali Mohammed Shein amefurahishwa na taarifa ya maendeleo ya...
CCM YAWAPA MAAGIZO MAWAZIRI WATATU KUTEKELEZA KWA KASI UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO KAGERA
Na Theophilida Felician, Kagera
Chama cha mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo Paul Makonda kimetoa maagizo ya kuwataka mawaziri wa...
TBS KUTUNUKU TUZO ZA UBORA WA BIDHAA NA HUDUMA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI...
Kuelekea kilele cha wiki ya Ubora,Shirika la Viwango Tanzania(TBS) limeandaa maadhimisho ya siku ya Ubora yenye lengo la kushukuru mchango wa wataalamu wa ubora...
SERIKALI KUKAA NA MBUNGE GHATI CHOMETE KUZUNGUMZIA UJENZI WA BARABARA TARIME
Na Shomari Binda
SERIKALI imeahidi kukaa na kuzungumza na mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ili kuzungumzia ujenzi wa kilometa 5 za...
CHALINZE KUJENGA HOTELI YA HADHI YA 5 ⭐ NA PETROL STATION KUONGEZA MAPATO
Na Scolastica Msewa, Chalinze.Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani limepitisha ujenzi wa hoteli ya hadhi ya nyota tano na kituo cha...













