Sunday, May 3, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MIAKA 40 YA SHIRIKA LA Vi-AGROFOREST KUADHIMISHWA KWA KUWAPA MAFUNZO WAKULIMA

0
Na Shomari Binda-Musoma WAKULIMA kutoka mikoa ya kanda ya ziwa na nje ya mikoa hiyo wanatarajiwa kupewa mafunzo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 40 ya...

WAZIRI MAVUNDE: SERIKALI YAONGEZA UMILIKI WA HISA MGODI WA MWADUI

0
Asema imefikisha asilimia 37 Kiasi cha Shilingi bilioni 41.6 kinatarajiwa kutumika katika kulipa fidia mgodi wa kabanga Nikeli Kutokana na Mabadiliko ya Sheria ya Mwaka 2017...

SERIKALI INATARAJIA KUKUSANYA NA KUTUMIA JUMLA YA SHILINGI TRILIONI 47.424

0
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt....

PROF. MUHONGO AENDELEA KUHAMASISHA UCHANGIAJI UJENZI WA MAABARA MASOMO YA SAYANSI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameendelea kuhamasisha uchangiaji wa ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi katika shule...

WAKULIMA SERENGETI WAITWA KUPATA MBOLEA YA KUKUZIA MAHINDI

0
Na Shomari Binda-Serengeti WAKULIMA wilayani Serengeti wametakiwa kufika maeneo yanayouza mbolea ili kununua mbolea kwa ajili ya kukuzia mahindi. Wito huo umekuja baada ya halmashauri ya...

WANACHAMA 162 WA MLANDIZI FAMILY WATEMBELEA HIFADHI YA MIKUMI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA DKT....

0
Na Scolastica Msewa, Mikumi. Watanzania zaidi ya elfu 60 wamefika kutembelea hifadhi ya taifa ya mikumi katika kipindi cha mwezi juni 2022 hadi mwezi juni...

MDAU WA MAENDELEO WA MUSOMA VIJIJINI ACHANGIA VITANDA VYA KISASA HOSPITALINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MDAU wa maendeleo wa jimbo la Musoma vijijini amechangia vitanda viwili vya kisasa kwaajili ya huduma kwa wagonjwa Vitanda hivyo vimetolewa kwenye hospital...

CHAMA CHA MAPINZUZI KIMERIDHISHWA NA UONGOZI WA DKT. MWINYI

0
CHAMA Cha Mapindizi (CCM), kimeridhishwa na uongozi wa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi. Hayo yamesemwa leo Novemba 4, 2023, na Makamu Mwenyekiti wa CCM,...

CARRIER NA TOSHIBA WATAMBULISHA BIDHAA ZAO MPYA ZA MAKAZI ZA MIFUMO YA VIYOYOZI

0
Dar es Salaam, Novemba 3, 2023Kampuni ya Carrier ambao ni wataalamu wanaoaminika wa masuala ya viyoyozi, majokofu, na mifumo ya moto ya ulinzi kwa...

SERIKALI YAAHIDI KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO YA UCHUMI WA BULUU

0
Na Mwandishi wetu Zanzibar Imeelezwa kwamba ufugaji wa Nyuki unaweza kuunganishwa na buluu kaboni katika hifadhi ya mikoko na katika ufugaji wa viumbe maji katika...