Home 2023
Yearly Archives: 2023
Wazee Mkoani Mwanza wapongeza Uteuzi wa Paul Makonda, kasi yake yawavutia ndani ya Chama
Na Neema Kandoro, Mwanza
Mwenyekiti wa wazee Mkoani Mwanza Charles Masalakulangwa alisema wanayo imani kubwa na Makonda kwani ana weledi na uzoefu katika ulingo wa...
UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA CHALINZE UMEFIKIA 86.23%
Na Scolastica Msewa, Chalinze.Ujenzi wa kituo Cha kupoza umeme cha Chalinze na mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Mwalimu Julias Nyerere...
ELIMU YA FEDHA KUFUNGUA FURSA ZA UKUAJI WA UCHUMI
Na. Farida Ramadhani, WF, Dodoma
Serikali imekusudia kuhakikisha wananchi wengi wanapata uelewa wa masuala ya fedha ili kuwawezesha kunufaika na fursa mbalimbali zinazopatikana katika huduma...
TIGO PESA WATOA ZAIDI YA MILIONI 300 KWA MAWAKALA WAKE NCHI NZIMA
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam 16 Novemba 2023: Mawakala wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo wanaotoa huduma za miamala maarufu...
MWENYEKITI WA BODI YA NISHATI VIJIJINI AAGIZA MIRADI YOTE IKAMILIKE KABLA YA DESEMBA 2023
ATAKA WAKANDARASI KUHAKIKISHA UBORA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Na Veronica Simba-REA, Mtwara
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu...
WAKULIMA MARA WAELEZA MAONYESHO YA KILIMO MSETO YA V-i AGROFORESTRY YALIVYOWAINUA KIUCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
WAKULIMA mkoani Mara wameelezea namna walivyo nufaika na maonyesho na mafunzo ya shughuli za kilimo mseto yaliyotimiza miaka 40.
Maonyesho hayo yamekuwa yakifanyika...
KOROSHO IKIDONDOKA IOKOTWE HARAKA KABLA HAIJAINGIA UNYEVU WA MVUA – MNG’ERESA
Na Scolastica Msewa, Mkuranga
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Ushirika wa Wakulima wa Mkoa wa Pwani CORECU Musa Mngeresa amewataka Wakulima mkoani humo kuendelea kulinda...
BUKOBA DC YA ENDELEZA MAPAMBANO UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE BORA KWA JAMII
Na Theophilida Felician, Kagera
Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera imeendelea na juhudi za utekelezaji wa mkataba wa usimamizi wa shughuli za lishe.
Yamebainika hayo kwenye kikao...
Jumuiya ya Maendeleo ya Kilimanjaro (JUMAKI) wakutana Mwanza
Na Neema Kandoro, Mwanza
Jumuiya ya Maendeleo Kilimanjaro (JUMAKI) wamekutana katika Uwanja wa ccm kirumba chini ya kiongozi wao mkuu ambaye ni mangi mkuu Deogratias...
SERIKALI YAIPA REA BIL 170 UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME MKOANI MTWARA
DKT BITEKO AITAKA REA KUWAFANYIA TATHMINI WAKANDARASI
NAIBU WAZIRI MKUU AIPONGEZA REA USIMAMIZI MIRADI YA UMEME NCHINI
Na Veronica Simba, REA-Mtwara
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa...













