Home 2023
Yearly Archives: 2023
Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni...
WAZIRI DKT. GWAJIMA ASISITIZA MAMBO MATANO AKIFUNGA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, JINSIA
Na WMJJWM, Dar Es Salaam
Mawaziri wa Fedha na Mawaziri wa Jinsia barani Afrika wametakiwa kuhakikisha suala la kupambana na ukatili wa kijinsia linawekwa kwenye...
TAASISI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MKOA WA PWANI YASAIDIA WATOTO NJITI
Na Scolastica Msewa, Kibaha
Tasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mkoani Pwani kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wameadhimisha kilele cha siku ya watoto njiti kwa...
MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA BIG WIN UINGEREZA.
Mke wa Rais wa Zanzibar , Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mariam Mwinyi ameendelea na ziara yake...
TBS YATOA VYETI NA LESENI ZA UBORA 145 KWA WAJASIRIAMALI NA WAZALISHAJI WA BIDHAA
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa vyeti na leseni 145 kwa wazalishaji ambao bidhaa zao zimethibitishwa kukidhi matakwa ya Viwango kwa kipindi...
SERIKALI YAPONGEZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA SHIRIKA LA Vi-AGROFORESTRY
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI imepongeza kampeni ya upandaji miti inayoendeshwa na shirika la Vi-Agrofotestry katika kupambana na uhifadhi wa mazingira.
Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Tawala...
MBUGE DKT DAVID MATHAYO AMUUNGA MKONO MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSANI KWENYE SEKTA...
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mbunge wa Same Magharibi DKT David Mathayo amesema Michezo inawajenga vijana kuwa na...
TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA TAJIRI DUNIANI
Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea
SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki...
REA YAANZA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA NAIBU WAZIRI MKUU KUFIKISHA HUDUMA YA UMEME MTWARA
KUPELEKA WAKANDARASI KUFANYA TATHIMINI MADIMBA NA MSIMBATI KABLA YA UTEKELEZAJI
Na Veronica Simba, Mtwara
WAKALA wa Nishaji Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa maagizo ya Naibu Waziri...
ZAIDI YA KAMPUNI 22 ZAKUTANA KUJADILI BIASHARA YA HEWA UKAA BILA KUATHIRI MAZINGIRA
Na Magrethy Katengu
Tanzania ni miongoni mwa nchi Mdau Duniani nayokabiliana na Mabadiliko ya tabia nchi kupitia Wizara husika ya Utalii na Maliasili pamoja kwa...













