Sunday, May 3, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

BALOZI KINGU ASISITIZA UBORA WA VIFAA NA KUONGEZA NGUVU KAZI KATIKA MIRADI YA REA

0
🔹 Lengo ni kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati Na Veronica Simba, SONGEA Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza...

MUWASA, RUWASA WAENDELEZA KASI YA USAMBAZAJI MAJI YA BOMBA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma ( MUWASA) na Mamlaka ya Usambazaji Maji Mjini na Vijijini (RUWASA) wameendeleza kasi...

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS AA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU NA...

0
Leo tarehe 19 Novemba 2023, nimempokea na kufanya naye mazungumzo Mhe. Jaji Iman Aboud, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na...

KAMPENI YA UPANDAJI MITI SAME YAZINDULIWA RASMI

0
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amezindua kampeni maalum ya upandaji miti kwenye Wilaya ya Same mwendelezo wa mkakati wa...

RC CHALAMILA, DKT. YONAZI WASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

0
NA. MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumn Marathon ambayo imeandaliwa...

LUNYAMIRA ATOA USHAURI KWA WACHEZAJI FAINALI RYAKITIMBO CUP 2023 BUNDA

0
Na Shomari Binda-Bunda MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars Edibily Jonas Lunyamira ametoa ushauri kwa wachezaji walioshiriki mashindano ya Ryakitimbo Cup...

RC MTANDA ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUWAPA MAFUNZO WAKULIMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa maagizo kwa wakurugenzi wa halmashauri zote za mkoa kuwasaidia wakulima kupata mafunzo. Maagizo hayo yametolewa...

PWANI TUSOMESHE WATOTO TUNUFAIKE NA FURSA YA UWEKEZAJI MKUBWA WA VIWANDA UNAOENDELEA MKOANI PWANI

0
Na Scolastica Msewa, KibahaMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao amewataka Wazazi wa wazawa wa Mkoa wa Pwani kusomesha watoto wao ili waweze...

Meli ya kubeba Mizigo Tani 1200 MV umoja yakamilika na kuzinduliwa Mwanza 17/11/2023

0
Neema Kandoro Mwanza UKARABATI wa meli ya kubeba mizigo tani 1200 MV Umoja umekamilika na kuzinduliwa kwa ajili ya kuanza kutoa huduma zake toka Jijini...

REA YAFIKISHA UMEME KWENYE VIJIJI 455 MKOANI LINDI

0
VIJIJI 69 VILIVYOSALIA VITAKAMILIKA KABLA YA DESEMBA 30 MWAKA HUU Na Veronica Simba, LINDI Jumla ya vijiji 455 kati ya 524 vya Mkoa wa Lindi vimekwishafikishiwa...