Sunday, May 3, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

RC MTANDA APOKEA KWA SHANGWE USHINDI WA BIASHARA UNITED

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amepokea kwa shangwe ushindi wa timu ya Biashara United wa mabao 3-1 dhidi ya Transit...

MBUNGE KILANGO AMEMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI KWA KUENDELEA KUTHAMINI WANANCHI WA JIMBONI...

0
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Mbuge wa jimbo la Same Mashariki Mhe. Anne Kilango amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...

HAJI: WENYEVITI WA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA WASIOWAJIBIKA KWA WANANCHI HAWAHITAJIKI NDANI YA CCM

0
Na Scolastica Msewa, KibahaKatibu wa NEC. Organaizesheni Taifa Issa Haji Ussi Gavu amesema CCM hakihitaji Viongozi wa mitaa, vitongoji na vijiji wasiowajibika kwa Wananchi...

WATEJA WA TIGO WAIPOKEA KWA KISHINDO MAGIFTI DABO DABO

0
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(wa pili kushoto) akimpatia zawadi ya fulana mteja wa mtandao wa Tigo Alicia Benedicto, wakati wa uzinduni...

DKT. MWIGULU AKIPONGEZA CHUO CHA MIPANGO KWA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI.

0
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Dkt. Remidius Ruhinduka, alisema Chuo cha Mipango kikiwa ni Chuo pekee hapa nchini chenye jukumu la kuandaa watalaamu wa...

AOMBA KUMUONA RAIS, KUELEZA CHANGAMOTO ALIZONAZO

0
Na Neema Kandoro Mwanza MJASIRIAMALI mwenye matatizo ya ulemavu wa viungo vya mwili ameomba taasisi zinazohusika kumwezesha fursa ya kumwona Rais Samia Suluhu Hassan Ili...

MAJALIWA ATATUA MGOGORO ENEO LA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI YA ILEJE

0
* Walipewa sh. bilioni 2, walumbana ya zaidi ya miezi 16 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje...

MAJALIWA ATEMA CHECHE MIMBA ZA WATOTO WA SHULE

0
*Ahoji ni kwa nini kesi mbili tu ziko mahakamani, awataka RC, Ma-DC wachukue hatua kwa wahusika* WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa...

WANAFUNZI 1,092,960 WAFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023

0
OR-TAMISEMI Jumla ya watahiniwa 1,092,960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1,356,296 wenye matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 wamefaulu ambapo wamepata...

FIFA NA TFF ZAIFUNGIA KLABU YA SIMBA KUFANYA USAJILI

0
Klabu ya ligi kuu nchini Tanzania Simba Sc imefungiwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu FIFA kufanya usajili wa wachezaji wa kimataifa...