Sunday, May 3, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WIZARA KUWEKA MIKAKATI SHIRIKISHI UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI

0
Kushirikiana na Makampuni bingwa ya Ushauri nchini kuitangaza sekta ya madini Wizara ya Madini kufungua Dawati maalum la Uwekezaji TIC Kufungua kiwanda cha uchenjuaji kitakacho hudumia...

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA SONGWE

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Novemba 23, 2023, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe,...

CCM MKOA WA MTWARA YAPONGEZA JITIHADA ZA OFISI YA WAZIRI MKUU KUKABILIANA NA MAAFA

0
NA. MWANDISHI WETUMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara, Mussa saidi nyengedi amepongeza juhudi za Ofisi ya Waziri Mkuu katika masuala ya menejimenti...

WAZIRI MHAGAMA AAGIZA KUIMARISHWA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO DAR

0
Na Mwandishi wetu Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeahidi kutoa Millioni kiasi cha shilingi 20 ili kuimarisha kivuko cha kivuko cha Magole/Mwanagati kilichopo katika...

MIKOA NA HALMASHAURI ZATAKIWA KUJIANDAA KUZUIA NA KUKABILIANA NA MAAFA

0
NA. MWANDISHI WETU Viongozi katika Mikoa na Halmashauri nchini, wametakiwa kuweka jitihada za kujiandaa kuzuia na kukabiliana na maafa hususan katika kipindi hiki cha mvua...

DC HAULE AENDELEA KUPOKEA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MANISPAA YA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa wilaya ya Musoma Dkt. Khalfan Haule ameendelea kupokea kero za wananchi kuhusiana na migogoro ya ardhi manispaa ya Musoma. Kero na...

“TUWAUNGE MKONO WATU WENYE ULEMAVU NCHINI” NAIBU WAZIRI NDERIANANGA

0
NA. MWANDISHI WETU Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga aemtoa wito kwa wadau kuendelea kuunga...

HAJI MANARA ATANGAZA KUTOA MAGARI 2 NA MAMILIONI YA PESA ” MAGIFTI DABO DABO...

0
Kiasi cha shilingi milioni 30 pamoja na magari mawili mapya yatatolewa.  DAR ES SALAAM, TANZANIA, Tarehe 22 Novemba 2023 - Kampuni ya mtindo wa maisha...

SERIKALI YATOA MAGARI 31 NA VIFAA TIBA KWA SHUGHULI ZA AFYA MKOA WA MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI imetoa jumla ya magari 31 na vifaa tiba mkoani Mara kwaajili ya kuhudumia wagonjwa na kufanya ufatiliaji wa shughuli za afya. Magari...

MADIWANI MKURANGA WAMSHUKURU RAIS DKT SAMIA FEDHA ZA MAENDELEO KUFIKA MAPEMA MKURANGA

0
Na Scolastica Msewa, Mkuranga.Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...