Home 2023
Yearly Archives: 2023
WAZIRI MKUU: VIJANA MSIOGOPE KUKOPA MITAJI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari kurejesha mikopo hiyo.
“Vijana wetu...
KAMATI YA BUNGE YASHAURI UWEKEZAJI ZAIDI SEKTA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Biashara imeishauri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuwa na Mipango Mikakati inayolenga kuendeleza...
SIMBA YAMVULIA KOFIA RAIS SAMIA, YAMUAHIDI KWA HOROYA
WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema ni...
WAZIRI MKUU: CHANGAMKIENI FURSA KUJENGA UCHUMI WA KIDIJITALI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanawake wote na Watanzania kwa ujumla waendelee kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na matumizi ya teknolojia katika kujenga uchumi wa...
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA KWENYE KAMATI YA BUNGE
Ofisi ya Makamu wa Rais imewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika...
DKT.DIMWA-ASIFU KASI YA UTEKEKLEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI
visiwa vidogo wanapatiwa maji safi na salama ifikapo 2025.
Hivyo alisema, serikali ya awamu ya nane chini ya uongozi wa Dk. Hussein Ali Mwinyi imepokea...
JUKWAA LA THE WARRIOR WOMEN LAWAFUNDA WAJASIRIAMALI ZANZIBAR
WANAWAKE Visiwani Zanzibar wameshauriwa kujiamini na kujikubali katika kuanzisha biashara za Ujasiriamali wakitumia ubunifu wa rasilimali zilizopo kisiwani humo kutengeneza bidhaa ambazo wataziuza ndani...
ZAIDI YA ASILIMIA 90 WAKAZI WANAOISHI BONDE LA MSIMBAZI WAMESHAFANYIWA UTHAMINI WA MALI ZAO
Na Magrethy Katengu
Zaidi ya asilimia 90 ya Wakazi waishio eneo la Bonde la Mto Msimbazi wameshafanyiwa uthamini wa viwango wanavyotakiwa kufidiwa ili kupisha Mradi...
PINDA ATAKA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA KUONGEZA MADUHULI YA SERIKALI
Na Anthony Ishengoma- Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Bw. Makazi Geofrey Pinda amesema vipaumbele vya Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi...
BRELA YATOA UFADHILI WA MASOMO YA UZAMILI KATIKA FANI YA MILIKI UBUNIFU
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watano ambao wanasoma Shahada ya Uzamili katika fani ya Miliki...















