Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

ASANTENI KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA KUBORESHA SEKTA YA AFYA- DKT. MOLLEL

0
Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel ameushukuru uongozi wa Shirika la afya la Japan, TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP kwa kuendelea kushirikiana na Serikali ya...
KAMATI, BUNGE, SERIKALI

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIPATIA GST MASHINE ZA UTAFITI WA MADINI

0
Na.Samwel Mtuwa - GST Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Serikali Awamu ya Sita kwa kuipatia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti...

KATAMBI AFURAISHWA USHIRIKISHWAJI WAZAWA MRADI WA SGR

0
Na: Mwandishi Wetu – TABORA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amefurahishwa na ushirikiwaji wa wazawa...

WATU 267, 261  WAFIKIWA NA KAMPENI YA ELIMU NA UHAMASISHAJI CHANJO YA SURUA 

0
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Katika utekelezaji wa  agizo la  Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha  kuanzisha kampeni ya   Hamasa na Elimu kwa jamii...

KAMATI YA AMANI YAMPONGEZA RAIS SAMIA

0
KAMATI ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa...
MAKAMU, RAIS, MAFUNZO

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wakuu wa Wilaya hapa nchini kuzingatia utawala bora,kanuni,...

TABORA YAPOKEA ZAIDI YA BILIONI 21 NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA

0
-Madaktari Bingwa wapiga kambi hospitali ya Rufaa-Kitete Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora Zaidi ya Shilingi bilioni 21 zimetolewa ndani ya miaka miwili na Serikali ya Awamu ya...
Mwanza, Maadhimisho, nenda

Mwanza mwenyeji Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Kitaifa

0
Uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kitaifa kufanyika Machi 14 Mkoani Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Kassim...

SERIKALI YAWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA UKOMO WA BAJETI 2023/2024

0
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imewasilisha kwa Wabunge Mapendekezo  ya  Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, ambapo imepanga kukusanya na kutumia jumla...

Maelfu yakipokea Kwa Shangwe Kituo cha Kisasa cha Redio Rufiji

0
Na John Mapepele Maelfu ya Wananchi wa Ikwiriri- Rufiji na vitongoji vyake usiku huu wamefurika katika Tamasha la uzinduzi waRufiji FM - Raha ya Pwani...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA