Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

NDEGE, KUWASILI, NCHINI

NDEGE AINA YA BOENG 767 – 300 KUWASILI NCHINI KWA AJILI YA KUSAFIRISHA MIZIGO...

0
Shirika la Ndege ATCL linamshukuru Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea kwenye shamba la Mifugo ng'ombe 500 maalum wa nyama ambao hadi sasa wamefikia...

DKT. MPANGO AMETOA MAAGIZO SITA YA KUZINGATIWA KATIKA MAANDALIZI YA DIRA YA MAENDELEO YA...

0
Na Farida Ramadhani, WFM -Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maagizo sita ya kuzingatiwa katika...
RAIS, SAMIA, ABADILI

RAIS SAMIA ATEUA, ABADILI VITUO VYA KAZI MABALOZI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo ambapo balozi wa Tanzania nchini Malawi amehamishiwa Cuba na...

TUTAENDELEA KUTEKELEZA KANUNI ZA AFYA ZA KIMATAIFA

0
Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Charles Mbuge amesema Tanzania imeendelea kushirikiana na Shirika la Afya Duniani...

MPANGO: AMETOA RAI KWA WIZARA ZOTE, TAASISI ZA UMMA NA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wizara zote, Taasisi za Umma, Idara Zinazojitegemea, Wakala...

MKENDA: TAYARI RASIMU ZA MAPITIO YA SERA YA ELIMU NA ILE YA MITAALA ZIMEKAMILIKA

0
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema tayari rasimu za mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo na ile ya mitaala zimekamilika na wakati...

WAKRISTO 6147 WAFIKIWA NA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG KATIKA IBAADA YA JUMAPILI.

0
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Ikiwa Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga ,Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma ikiendelea na juhudi mbalimbali za uelimishaji...

TANZANIA NA SCJohnson ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA KUPAMBANA NA MALARIA

0
Na.WAF, Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Aprili 2,2023 amesaini hati ya makubaliano ya kushirikiana na Kampuni ya SCJohnson ya nchini...

WANAFUNZI 2723    KATOMA  WAFIKIWA NA ELIMU YA UGONJWA MARBURG.

0
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Ikiwa Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma kwa kushirikiana na watalaam wa Afya...

WAUMINI 702  KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO WAFIKIWA NA ELIMU YA MARBURG .

0
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Katika jitihada za Wizara ya Afya , Idara ya Kinga,Elimu ya Afya  kwa Umma kwa kushirikiana na kamati za afya za...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA