Home 2023
Yearly Archives: 2023
WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAHIMIZE MAADILI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kila wanapopata nafasi kwenye mimbari wakemee kuhusu ukatili wa kijinsia pamoja na wale wanaoenda kinyume na...
MARIAM DITOPILE AUNGANA NA WANA KONGWA KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini zaidi ya 500 katika...
WAZIRI MKUU AWAAGIZA WAKUU WA MIKOA 12 WASIMAMIE LISHE BORA
Azindua mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa 12 wachukue hatua stahiki kutatua tatizo la udumavu uliozidi wastani...
WAZIRI MKUU AWAAGIZA WAKUU WA MIKOA 12 WASIMAMIE LISHE BORA,
*Azindua mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa 12 wachukue hatua stahiki kutatua tatizo la udumavu uliozidi wastani wa...
MRADI WA MAJI BILIONI 119 KUIFAIDISHA RUANGWA – MAJALIWA
Ashiriki kikao cha kutambulisha miaka miwili ya Rais Samia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inakuja na mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya sh....
WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA EMD RUANGWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua jengo la wagonjwa wa dharura kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa ambalo limegharimu sh. milioni 390.
Akizungumza na wakazi wa...
WAZIRI NDALICHAKO AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023
Na: OWM - KVAU – MTWARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ametembelea...
MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AKIAGA KUINGIA KWENYE NDEGE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango akimuaga Makamu wa Rais wa...
TCRA KUKAGUA VIFAA VYA MAWASILIANO NJE YA NCHI
*Kazi ya Ukaguzi inafanywa na wakala waliongia mkataba
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuanzia Mei 23, mwaka huu vifaa vya mawasiliano ya...
MBETO: AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO ZANZIBAR.
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.
Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kimeridhishwa na hali ya upatikanaji wa chakula katika mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na bei za...















