Home 2023
Yearly Archives: 2023
MBUNGE MATHAYO KUKUTANA NA VIJANA KUJADILI MAENDELEO
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedaatus Mathayo, kesho anakutana na vijana we jimbo hilo kuzungumzia shughuli za maendeleo ikiwemo miradi ya...
SERIKALI KUSHIRIKISHA WANANCHI KUHUSU KUONDOLEWA KWA KIJIJI CHA NGARESERO KWENYE PORI TENGEFU LA POLOLET,...
Serikali imesema kuwa itashirikisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri ya kukiondoa Kijiji cha Ngaresero katika Pori Tengefu la Ziwa Natron...
M/KITI UVCCM MKOA TANGA AWAFUNDA VIJANA KUTUMIA FURSA ZA KILIMO MATI MLINGANO
Na Boniface Gideon, MUHEZA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Ramadhan Omary leo aliongoza ziara ya kamati ya Utekelezaji...
DC BOMBOKO Ahimiza Wazazi Kutambua Wajibu Wao Katika Kumlea Mtoto
Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeadhimisha Siku ya Familia Duniani wilayani hapo kwa kufanya mdahalo uliowahusisha viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini, Wananchi na Wanafunzi...
DC. KHERI JAMES AHIMIZA UMAKINI ZAIDI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI.
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Mhe. Kheri James amewataka wahandisi na Idara ya ujenzi kwa ujumla kuongeza umakini katika usimamizi wa miradi,ili kuhakikisha thamani...
DC SAMIZI ATAKA FAMILIA ZIVUNJE UKIMYA VITENDO VYA UKATILI MAADHIMISHO YA SIKU YA FAMILIA...
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imeadhimisha Siku ya Familia Duniani katika...
RAIS SAMIA AHAMISHA WAKUU WA MIKOA WANNE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya Uhamisho wa baadhi ya wakuu wa Mikoa; Mwanza, Morogoro, Kagera na...
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUBALI KUENDELEA NA BIASHARA
https://youtu.be/FBLEtA4LJVk
*Majaliwa aagiza kuondolewa kwa kikosi kazi ‘Task Force’ ya Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya...
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAKUBALI KUENDELEA NA BIASHARA
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia kuendelea kutatua changamoto mbalimbali...
TIGO WASAINI MKATABA KUPELEKA MAWASILIANO KATA 371 , AWAMU YA NANE
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni namba moja inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini Tigo imesaini mkataba mpya wa awamu ya 8 wa kufikisha huduma...















